Tanesco inaidai Serikali ya mapinduzi Zanzibar tsh. 56.3 billion | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanesco inaidai Serikali ya mapinduzi Zanzibar tsh. 56.3 billion

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Saint Ivuga, Mar 12, 2011.

 1. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #1
  Mar 12, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,486
  Likes Received: 19,879
  Trophy Points: 280
  Hayo yamesemwa na Mkama kwenye mkutano wa wafanyakazi wa Tanesco wa Pwani na Dare es salaam uliofanyika ubungo kwenye makao makuu ya Tanesco. Alisema zanzibar ndio mdaiwa sugu hadi mei mwaka jana ilikuwa inadaiwa 56.3 bilion,na alibainisha kuwa Zanzibar licha ya kutoguswa na mgao wateja wake wanalipa fedha kidogo ukilinga nisha na fedha wanayolipa wateja wa Tanzania bara.
  Sourece: mwananchi . Tr 12/03/2011
   
 2. n

  ngoko JF-Expert Member

  #2
  Mar 12, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 574
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Muungano lazima ulindwe kwa gharama yoyote , na mojawapo inaweza kuwa ni hiyo ya kupunguza bei za umeme . Upande mwingine shirika la umeme znz ndilo linalouziwa umeme na Tanesco na lenyewe lina jukumu la kugawa bidhaa hii kwa wananchi wa znz , hivyo basi bei ya bidhaa zake inategemea na SMZ inachukua juhudi zipi kupunguza makali kwa wananchi swake. .......
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Mar 12, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,486
  Likes Received: 19,879
  Trophy Points: 280
  jukumu lenyewe ndio kutolipa deni?
   
Loading...