Mwalimu wangu wa darasa la saba (Marehemu Mwindadi) mwaka 2002 alinifundisha kuwa kuna aina kuu mbili za TransfomaKwa ufahamu wangu mimi kazi ya Transformer ni kupooza umeme na sio kuzalisha, labda kama hilo ni Generator!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa ufahamu wangu mimi kazi ya Transformer ni kupooza umeme na sio kuzalisha, labda kama hilo ni Generator!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu wameng'ang'ania tuu kusema pozo na chocheo halafu hawajui maana yake.
Mzee baba umetisha sana!! Wewe ndo umeelewa nilichokuwa namaanshaKuna watu wameng'ang'ania tuu kusema pozo na chocheo halafu hawajui maana yake.
Kuchochea/kupoza sio kuzalisha.
Ila mleta mada kwa kutokujua ameweka hii thread kama vile hiyo transfoma ni chanzo cha kuzalisha umeme wakati sio kweli
Waafrika Sisi ni shida, yaani serikali kufanya wajibu wake na kazi waliopewa na pesa za kodi zetu eti tunatoa pongezi na kuona ni msaada au ni hisani toka kwa serikali tena ana anasifiwa raisi. Kwani raisi kazi yake manunuzi?? Na wala Rushwa haitakwisha nchi hii. Ikiwa wajibu inaonekana ni hisani au fadhila.Mzee baba umetisha sana!! Wewe ndo umeelewa nilichokuwa namaansha
Sent using Jamii Forums mobile app
Serikali kupitia Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) imeingiza nchini TRANSFOMA yenye uwezo wa MVA 300 sawa na Mw 240. TRANSFOMA hii itakiongezea uwezo kituo cha Ubungo kutoka MVA 300 hadi 600 sawa na MW 480. View attachment 1007346
Ipo ya kupoza na ipo ya kuchochea (Kuongeza)Kwa ufahamu wangu mimi kazi ya Transformer ni kupooza umeme na sio kuzalisha, labda kama hilo ni Generator!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo nili negligent losses ila tu transformer as a machine haiwezi kuwa na 100% efficiency ivo kinachoingia as a input lazima output ipungue kidogo.Kimbuka kuna power factor na power loss brother
Mbona picha za zamani,kweni wewe kabla ya Shudu si ilikuwa Megawati 4000 ila sasa umeipoza.
ZAMANI IPI USIPINGE MAMBO USIYOYAJUA HII NDIO SHIDA YENU UJUAJI MWINGIMbona picha za zamani,kweni wewe kabla ya Shudu si ilikuwa Megawati 4000 ila sasa umeipoza.
ZAMANI IPI USIPINGE MAMBO USIYOYAJUA HII NDIO SHIDA YENU UJUAJI MWINGI
Tunaijua imejaaa maji sema Shudu ndio ndio limeisitiri hiyo Transfoma nasikia imeshawaondoa wengiZAMANI IPI USIPINGE MAMBO USIYOYAJUA HII NDIO SHIDA YENU UJUAJI MWINGI