Shirika la kuzalisha na kusambaza umeme Tanzania TANESCO limewadanganya wananchi kwakuwaambia mwezi wa tisa watapunguza mgao wa umeme lakini bado. Tanesco mwezi wa tano mwaka 2011 lilipunguza usambazaji wa umeme kwa kudai wanasafisha mabomba ya gesi huko mtwara.matokeo yake wakaja na mgao wa mojakwamoja. 'Tanesco Punguzeni huongo kwasababu watanzania wamefunguka macho sikuhizi'