TANESCO, huku kukata ovyo umeme kutaisha lini?

Na mapozi Kama ya mtu mwenye busara kumbe zero,ni ujanjaujanja tu.
Huyo jamaa Makamba mbona ni msanii siku nyingi. Sikukubaliana na Magufuli kwa mengi lakini katika vitu alivyofanya sahihi ni kuwapuuza watu kama kina Makamba. Hawa wote pamoja na huyu mama ni watu wa usanii zaidi. Utekelezaji ni sifuri.
 
Walipopuuzwa waliamini wameonewa Sasa ngoja tuone uwezo wao.
 
Sasa sukumagang wameshaondolewa wote ndo walikuwa wanahujumu,kwanini unakatika?.
Heri hii wizara wangempa Yule Eng.Mramba kuliko huu muuza sura.
Huyo alishashindwa zamani ni mpiga madili tu sasa ni wakati wa madili tu nilishangaa mama aliposema anaangalia utendaji,nikanywa Panadol nikalala.
 
Walipopuuzwa waliamini wameonewa Sasa ngoja tuone uwezo wao.
Wala tusisubiri. Nina uhakika kwa asilimia kubwa kuwa hawawezi. Hawa si ndiyo hao hao waliokuwepo kipindi cha Kikwete? Walifanya nini zaidi ya kusafiri, kutembeza bakuli na kuigeuza nchi ya wapiga dili?
 
Huyo alishashindwa zamani ni mpiga madili tu sasa ni wakati wa madili tu nilishangaa mama aliposema anaangalia utendaji,nikanywa Panadol nikalala.
😂😂😂😂
Alifikiri ni wizara ya mazingira hii.
Mama atajuta kumteua huyu jamaa.
 
Wanahamasisha tabia mbaya sana yaani wanakata usiku isitoshe nina shemeji yangu ndani Demu wa Rafiki yangu wa mbali.
 
Back
Top Bottom