Tanesco, huduma ya Luku imekwama tena leo

Ukiwa na matumizi makubwa halafu unanunua kidogo kidogo kwa hali ilivyo kulala giza lazima, mie kipindi kile nilinusulika nilinunua ukagoma baadaye nikatumiwa token voda na tigo, maranyingi ile alarm inashitua napo zinakuwa kati ya 4-5

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
yaani nishawahi kulala gizani mara kibao kwa sababu nilikuwa nawaaachia mabinti ila nikaona hakuna sababu ya kulala giza kwa sababu ya uzembe
 
Huyu mama ameanza udhaifu mapema sana, nafurahi kwamba sio katili kama yule bwana aliyechukuliwa na kisulisuli Ila hiyo sio kazi ya Rais pekee, huku maji hakuna siku nne then umeme,. Yani vinapikezana na yeye kazi kuoaka shedo tu.
 
Back
Top Bottom