TANESCO: Hawausiki kuhamisha nguzo za umeme Morogoro Road | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TANESCO: Hawausiki kuhamisha nguzo za umeme Morogoro Road

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Asante, Oct 12, 2012.

 1. Asante

  Asante JF-Expert Member

  #1
  Oct 12, 2012
  Joined: Dec 18, 2009
  Messages: 1,960
  Likes Received: 297
  Trophy Points: 180
  [FONT=&quot]Mradi wa mabasi yaendayo kasi eneo la Magomeni unakwamishwa na nguzo za umeme ambazo bado ziko kwenye eneo la mradi wa barabara, Lawama hizi zimekuwa zikielekezwa kwa shirika la umeme la Taifa kuwa ndio wanaochelewesha.

  Ukweli ni kuwa kazi ya kuhamisha nguzo hizo ilitangazwa kwa tenda na Tanroad, kampuni ya M/S Spencon Service Ltd ndio walioshinda, na mkataba ulisainiwa mwezi wa May 2010 kwa gharama ya shilingi 5,600,000,000.00, walitakiwa wawe wamekamilisha kazi hiyo kwa kipindi cha miezi 9 lakini hadi leo hii ni zaidi ya miaka miwili kazi haijakamilika na mamlaka zinazohusika ziko kimya.  [/FONT]
   
 2. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #2
  Oct 12, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,223
  Trophy Points: 280
  haaaaa bilioni 5???????? Au macho yangu yanamakengeza?
   
Loading...