TANESCO haina tena nguzo za kusambaza umeme majumbani

Piga namba zifuatazo wakueleze Hali ilivyo mbaya kuhusu nguzo za tanesco.
1. 0784-422-884
2.0784-390-625
3. 0682-304-430
Ukipata majibu nijulishe walichokuambia. Tatizo tanesco mnaficha matatizo. Tangu bei ya kuunganishiwa umeme iwe Tsh 27,000 hamjawahi kuhufumia mteja hata mmoja kumpatia nguzo Kwa bei hiyo.
JPM tutamkumbuka sana'
Dah noma kaka cjui tufanyeje
 
Hakuna kitu kama hicho, mimi huku nilipo kwa sasa, umeme ni wa mradi wa REA, na kuna mashine nyingi sana, za kukoboa mpunga, zenye kutumia three phase.umeme huo wanautoa kwenye HT, Za tanesco, sema sehemu nyingi wanachobania ni transfoma kuwa chache hivyo kupelekea umeme kuwa na nguvu kidogo, kulinganisha na mahitaji!!!na hili hujitokeza baadaye watumiaji wanapokuwa wanaongezeka.
Kuhusu kuwa na nyaya tatu(three phase) sio kila mtumiaji ana kuwa na sifa hiyo, kuwekewa , bali mahitaji yako ndio yatakufanya uwekewe hiyo, na gharama zake huwa ziko juu.
Jamaa hajui kitu kabisa
 
Hizi ni namba za menager wa Kilimanjaro, Siha na Hai tunaomba za mteja au zako mwenyewe tufatilie
Kama ndizo zenyewe umetumiwa wao kama watumishi wa tanesco wanawajibu nini wateja wao? Kabla hujahitaji Namba za wateja wanaobisha hodi ofisini kwao kwa miguu kila siku ?
 
Kwenye miradi ya REA, baada ya mkandarasi kuwa ameshinda Tenda, yeye ni kujenga line tu, vifaa vyote analetewa na tanesco, tanesco wao ndio huwa wanatangaza zabuni kwa makampuni, yanayoshinda yanapewa hizo kazi, za nguzo, yanaenda mfano sao hills, au kwa wazalishaji wengine wa nguzo, na kuingia nao mikataba, tanesco akiwa kama mdhamini, inategemea na makubaliano, yao lakini mala nyingi huweza kulipa advance tu, nyingine badaye.
Acha kupotosha watu.
Mkataba ni kati ya REA na Mkandarasi. Tanesco yeye ni kusimamia tu mradi ujengwe katika standards and specifications zake tu. Mkandarasi yeye ataleta materials yote as per tanesco specifications.

Unajua kitu kinachoitwa TURNKEY.
Miradi yote ya REA ni TURNKEY projects.
 
uking'ang'ana kulipia ile 20k, hupati nguzo

ukilipia 321k + 'ela ya nguzo' , nguzo zipo bwelele, akili kumkichwa
 
Nguzo wamezitelekeza mitaaani kisa wameambiwa bei elekezi ya kuunganisha wateja ni 27,000. Tanesco wana mgomo baridi ila hawasemi wazi wazi
 
Acha kupotosha watu.
Mkataba ni kati ya REA na Mkandarasi. Tanesco yeye ni kusimamia tu mradi ujengwe katika standards and specifications zake tu. Mkandarasi yeye ataleta materials yote as per tanesco specifications.

Unajua kitu kinachoitwa TURNKEY.
Miradi yote ya REA ni TURNKEY projects.
Tanesco anamsimamia REA wakati tanesco mwenyewe ameshindwa kujisimamia? Very interested. Wakati tanesco anamsimamia REA ,yeye tanesco anakuwa anafanya shughuli Gani? Kwa kifupi REA ni mrafi WA watu waliopanga namba ya Kula fedha za tanesco. Mfano mzuri . Anayepewa miradi yote ya REA mkoa WA Geita ni kaka yake WA kuzaliwa na Mh. Medard Kalemani ,waziri wa nishati. Then unasema tanesco itaenda kusimamia huo mradi? Watanzania amkeni
 
Hicho kitu tulitengemea kutokea Tenesco kwa sababu makusanyo ni madogo kuliko gharama wanazotumia. Huo ni mwanzo tu
Serikali wabuni Tozo zingine kuliokoa shirika. Tozo ya simu inaenda TARURA kutengeneza Daraja la mbao la million 31 wakati wanafunzi wanakaa chini hakuna madarasa.
Tozo zetu za miamala ndio zimejenga daraja la mbao!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Nawasalimu kwa jina la tozo
 
Tanesco anamsimamia REA wakati tanesco mwenyewe ameshindwa kujisimamia? Very interested. Wakati tanesco anamsimamia REA ,yeye tanesco anakuwa anafanya shughuli Gani? Kwa kifupi REA ni mrafi WA watu waliopanga namba ya Kula fedha za tanesco
amka wewe kwanza, huna akili + hujui REA ni nini,

REA ni wakala wa nishati vijijini na HQ ipo pale Ubungo pembeni mwa Sam Nujoma

zabuni zinatangazwa na REA, wakandarasi wanaomba, aliyepata anaingia mkataba na REA,

mkandarasi anasimamiwa na Tanesco , akimaliza anakabidhi kazi kwa Tanesco , kisha kulipwa na REA

ulafi wa REA unakujaje hapo ?
 
amka wewe kwanza, huna akili + hujui REA ni nini,

REA ni wakala wa nishati vijijini na HQ ipo pale Ubungo pembeni mwa Sam Nujoma

zabuni zinatangazwa na REA, wakandarasi wanaomba, aliyepata anaingia mkataba na REA,

mkandarasi anasimamiwa na Tanesco , akimaliza anakabidhi kazi kwa Tanesco , kisha kulipwa na REA

ulafi wa REA unakujaje hapo ?
Wakandarasi ñdio hao kaka wa Waziri au? Tatizo huna uhalisia wa field work. Unasoma makabrasha ofisini kuelimisha watu.
 
Mimi nimeambiwa surveyor atakuja kukagua aone kama kweli nahitaji nguzo,mwezi wa pili huu sasa,kila nikiuliza naambiwa ana kazi nyingine atakuja...mapinga jirani tuu na Dar
Hili ndilo tatizo kubwa zaidi...
 
Sio kama nimeshinda mkuu, hawa wanasiasa ndio wameshatuona wananchi mapimbi!!ki ukweli kwa sasa tanesco hawana nguzo kabisa, juzi kuna jamaa yangu aliposikia eti kuna umeme wa 27, 00 akaenda , yeye anatakiwa nguzo moja, wamempigia hesabu ni kama 320, 000!! Akauiliza vipi inakuwaje bei hiyo, walichomjibu, achana na matamko ya wanasiasa!!na wakamwambia hata ukilipia leo, subilia labda ndani ya siku 60 -90 za kazi!!kwa sasa kuna uhaba wa nguzo.
Mkuu upo sahihi
 
Back
Top Bottom