Donatila
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,563
- 21,665
Hivi TANESCO ni kwanini mnatufanyia makusudi kiasi hichi..yani mmetukatia umeme huku Kunduchi/Kilongawima pamoja na sikukuu yote hii..
Hivi kwanini hamtoi taarifa jamani tukajipanga..maana sasa mimi nilikuwa napiga kazi..laptop yangu haina chaji..
NB; Muanzishe kitengo cha kutoa taarifa kwa wateja wenu kabla ya kukata umeme..
Mnatuumiza, Mungu anawaonaaa...