Sidhani kama umeeleweka ipasavyo. Hiyo namba uliyoandika ni ya tapeli/kishoka au ni ya kwako? Na kama ni ya kwako upigiwe na nani na kwa ajili ya nini? Au kukupa pole? Na kama unataka TANESCO ndiyo wakupigie kwa nini wewe ndiye usiwapigie kutoa taarifa mapema ya utapeli huo?Nadhani nimeeleweka