Tanesco call centre mnakera

majiyachupa

Member
Jul 5, 2011
57
11
Inasikitisha sana,

Lakini kwa kuwa sina kwa kupeleka malalamiko yangu zaidi ya hapa jf acha nitoe la rohoni

Inaudhi sana unapopiga call centre halafu badala ya kupokea simu inakatwa bila kupokelewa na hela yako inaliwa, hata ikikatwa zaidi ya mara 5 kama lililonikuta leo bado unaliwa hela yenyewe ngumu hii mbaya zaidi shida haitatuliwi

Kama huyo dada (wa leo) kazidiwa kazi kwa nini msiongeze wakati mnaongeZA gharama kwa 68%

Yaani hovyo kabisa


Mfyuuuuuuuuu zenu
 
Back
Top Bottom