Tanesco:- Bwawa la Nyerere litakuwa na uwezo wa kuzalisha umeme Megawati 2115 hata kama mvua haijanyesha kwa miaka 2

Mpinzire

JF-Expert Member
Jan 18, 2013
7,209
12,912
Tunapofanya usanifu wa chanzo cha kuzalisha umeme tunakuwa na malengo, bwawa la JNHPP litakuwa na uwezo wa kuhifadhi maji ujazo wa bilioni 35, maji haya yanaweza kutumika kwa zaidi ya miaka miwili bila mvua.
.... TANESCO Tunajipanga

View attachment 2035674

Screenshot_2021-12-07-10-18-47-23_0b2fce7a16bf2b728d6ffa28c8d60efb.jpg
 
Alafu anakuja mtu anatuaminisha eti umeme wa maji umepitwa na wakati mara mabadiliko ya tabia ya inchi
 
Back
Top Bottom