Tanesco bado mnafungulia maji usiku katika mabwawa yenu? mvua ni nyingi mgao ukome!

iparamasa

JF-Expert Member
Nov 14, 2013
13,438
14,916
Kuna mkuu mmoja aliwatuhumu tanesco kwamba huwa wanafungulia maji usiku ili mabwawa yaonekane hayana maji,mgao uanze wapige dili za mafuta na jenereta,Mwaka huh mvua no nyingi sana,hatutarajii muendelee kutukatia umeme kama mnavyofanya,natoa wito wale wanaofungulia maji wakamatwe
 
Back
Top Bottom