TANESCO Arusha, matengenezo yameisha?

meningitis

JF-Expert Member
Nov 17, 2010
8,394
4,748
Ni takribani siku ya nne sasa hapa jijini Arusha upatikanaji wa umeme umerudi kwenye hali ya kipekee yaani kuwepo wa umeme 24/7 bila kukatika.

Kuanzia kipindi cha kampeni umeme haukuwahi kuwa stable mpaka siku tatu zilizopita....sababu ya kwanza ilikuwa ni upungufu wa maji na sababu iliyofuatia ni utengenezwaji wa miundo mbinu.

swali langu ni Je matengenezo hayo ya Tanesko yameisha au yamesimama tu kwa kuwa mkuu wa nchi yuko Arusha?
 
Back
Top Bottom