Tandiko Vs Godoro

MgonjwaUkimwi

JF-Expert Member
Mar 10, 2006
1,336
875
Polisi: Msee wangu tukusaidie nini
Mzee: Wezi wameiba godoro
Polisi: Kuna mtu waweza kumhisi hana ritandiko karibu na nyumba yako?
Mzee: Ana Ritandiko ana rigodoro
Polisi: Nenda mlete huyo Ana Ritandiko na Rigodoro
Mzee: Siwezi kuleta rigodoro kwasababu Ana Ritandiko sasa analilalia rigodoro
Polisi: ha ha ha ha, wewe mzee muhuni, yani unajuwa wakati gani Ana Ritandiko analilalia Rigodoro, ha ha ha ngoja nimwambie bosi wangu.
Polisi: Bosi ebu nisaidie hapa, huyu mzee anasema Ana Ritandiko analilalia Rigodoro sasa hivi.
Bosi: Nilijuwa hili siku nyingi kwamba mke wangu Ana Ritandiko analala na Rigodoro. Nenda tia pingu wote wawili, Ana na Rigodoro alafu leta hapa wote.
Mzee: Hapana baba tafadhali nielewe, Ana Ritandiko haibi Rigodoro......
Polisi: Bosi, huyu mzee anamaanisha Rigodoro ndio linaiba Ritandiko, hivyo wacha tukalikamate Rigodoro kabla halijalilalia sana Ritandiko

Mzee kaona karikoroga kwa mke wa bosi, kaamua kutoka mbio.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom