Elections 2010 Tandika kwazizima kwa vurugu!!!

Hivi NEC wana matatizo gani,,, si watangaze matokeo watu waendelee na shunguli zao za kawaida !! Agriiiiii 111
 
Nilishawahi kusema Polisi wa Tanzania, wengi wao hawana akili, they are like robots! Wewe unawapiga watoto mateke, marungu na kuwapiga mabomu ya machozi, unataka sisi tukuone wewe una akili timamu???????
Iko siku ambayo haki na kweli itatendeka nchii hii, ninaitamani sana siku hiyo, nitatamani sana kuona nyuso zao siku hiyo ikifika!
 
Jamani... Tuwasihi CCM

...They should stop playing with this country ...like this!!!

....Arusha, Mwanza... What is taking place isnt fare so far!!!
 
Alisema Kikwete................Ushindi lazima. Na kwamba damu itamwagika. Alikuwa anajua fika kwamba watachakachua na wapinzania/wanamageuzi hawatakubali upuuzi wao.

What a shame, wataweka wapi nyuso zao?

CCM ndio walikuwa wanataka hivi lakini i tell you this will backfire to them
 
Jamani... Tuwasihi CCM

...They should stop playing with this country ...like this!!!

....Arusha, Mwanza... What is taking place isnt fare so far!!!

Arusha shwari, naona Mwanza ndio wanataka kufanya uchakachuzi wakiongozwa na mkwere aka mbayuwayu
 
Nilikuwa naangalia Tv na kucheki vurugu za temeke. Polisi wamemkamata mshkaji na jamaa akawa mtii kama kondoo wa sadaka na alipoikaribia defenda polisi akampiga buti jamaa akaanguka chini. Alipoingia ndani ya defenda kama vile hatoshi polisi wakawa wanamshindilia chini. Je hii ni sawa wadau? haki za binaadamu ziko wapi hapa?

Mungu Ibariki Tanzania.
 
NUUZA BUNDUKI ,UKIHITAJI PIGA CMU 0223455377 LANDLINE. AK47. UNAWEZA KUITUMIA KUULIA WACHAKACHUAJI!:rip:
 
Back
Top Bottom