Tanaseco Arusha wamekata umeme jijini Arusha mara baada ya kuona mama ameenda monduli

Ni hivi
Kuna mtu anaamka asubuhi anaupara anapanda usafiri wake hadi kazini halafu kazi ya kwanza anaangalia line za kukata. Baadae chai baadae cha mchana jioni anarudi ofisini anawasha tena maisha yanaendelea
 
Pengine hawana wa kutosha, sasa wafanyeje mkuu?

Acha tugawane uliopo .

Ukajua mama alibeba umeme kauacha?

Poleni.

Mimi Nipo kwenye umeme unaoenda Hosp kubwa ya rufaa, sijawai ona umeme umekata hata mgao uweje.
 
Jus nilikuwa kiteto na simanjiro ,kule hakuna migao kama huku miji mikubwa wenye viwanda vizito na ndio maana dar Arusha umeme Ni shida Kuna viwanda vikubwa haswa na umeme wake pia Ni mkubwa

Kiteto hkn kiwanda chochote chenye kutumia transformer yake yenywe Sana utakuta 3 phase tu za kusagia unga
 
Back
Top Bottom