sembo
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 4,350
- 3,451
Hebu tujaribu kukadiria ni uharibifu wa kiasi gani, huyu Mnyama mkali kabisa mwituni pengine kuliko wote.. anaoenda kuufanya katika Stand ya Shinyanga??
Katika Mechi 6 zilizopita.
Sisi..
Tumeshinda: Mechi Zote [5]
Sare: Mechi 0
Tumefungwa: Mechi 0
Wao..
Wameshinda: Mechi 1 tuu.
Sare: Mechi 3
Wamegongwa: Mechi 5
Kama tumeweza kushinda mechi 5 mfululizo.. Itawezekanaje tushindwe kuwafunga hawa 'wachovu' ambao wameshinda mechi moja tu kati ya 5?!
Katika Mechi hizo hizo 5 zilizopita.
Sisi..
Idadi ya Magoli tuliyofunga: 11
Idadi ya Magoli tuliyofungwa: Hakuna
Wao..
Idadi ya Magoli waliyofunga: 6
Idadi ya Magoli waliyofungwa: 6
Kama kila mechi, Sisi tunafunga goli zaidi ya mbili na Wao kila mechi wanafungwa goli zaidi ya moja.. Unategemea nini hasa kitatokea baada ya fowadi yenye njaa.. Itakapokutana na beki mbovu?!
Matokeo ya Mechi iliyopita katika uwanja wa Kambarage.
Sisi..
Simba S.C 3-0 Stand United
Wao..
Stand United 1-1 African Lyon
Japo tutakua ugenini.. matokeo yetu ya ugenini yanaonesha tunagawa dozi nzito nzito kuliko tukiwa nyumbani.. Sasa hawa wapiga debe sijui watatokaje hapo?!
UPDATES.. 1.
Baada ya matokeo ya Mnyama dhidi ya Stand..
Vita ya Ufungaji Bora katika timu.
Sisi..
Kichuya - Goli 9
Mavugo - Goli 4
Muzamiru - Goli 4
Ajibu - Goli 3
Mo Ibrahim - Goli
Wao..
Magoli yamefungwa na wachezaji wawili tu.
Mnyama huyu.. ukimdhibiti mmoja, mwingine anakuliza.. Sasa hawa wapiga debe sijui watamdhibiti nani wamuache nani?!
UPDATES.. 2.
Baada ya 'Tanapa' kushindwa kabisa kulifanyia kazi hili ombi langu..
Ombi Langu Kwa 'Tanapa':
Baada ya Mnyama huyu kufanya maangamizi makubwa katika mgodi wa dhahabu uliopo Mwadui.. Sasa yupo njiani anaelekea kufanya uharibifu mkubwa zaidi [usioelezeka] katika Stand ya mkoani Shinyanga.'Tanapa' kumzuia huyu Mnyama hamuwezi, labda mtakachofanya ni kupunguza tu uharibifu.[/B]
.. Sasa Mnyama anarejea katika mbuga yake.. Na hii ni baada ya kusikia kuna kimnyama kimevamia.. Maangamizi anayoenda kutoa.. Dunia nzima lazima isimame. 'Tanapa' take note.