TANAPA yafanikiwa kuzima moto Mlima Kilimanjaro

Kwani hiyo Mvua ikisaidia Kuuzima huo Moto kuna tatizo? Hivi ni kwanini baadhi ya Watanzania mna Husuda na Visununu kwa nchi yenu hii hii pia?
Lakini point si iko pale pale zima moto ni upuuzi tu ndani ya sare lakini hamna kitu ..
 
Ila janga la moto limeathiri sana ikolojia ya mlima, nilifika mandara kuna mabanda mapya zaidi ya manne yaliteketea kabisa, na kuna baadhi ya wapagazi hadi leo wapo mahabusu sababu mmoja alisema wakati moto unaanza wao walikuwepo.
 
Back
Top Bottom