TANAPA wataita lini tena usaili kwa kada walizohairisha toka Machi?

Tuwe na hakika ndipo tuongee asee.
Tr16 January 2021 watu wanakutana Arusha kwa ajili ya interview iloahirishwa mwaka jana January 07
Ni kweli Kuna jamaa kaniambia tarehe 16 January 2021 watakuwa na written test. Kwahiyo ni Bora wasiopata wito wa Tanapa wakatafuta taarifa sahihi
 
Back
Top Bottom