TANAPA wametoa ajira za kumwaga

process yakuomba hizi kazi nikupitia ajira portal lakini sehemu yakujaza personal detail system inataka ujaze namba ya NIDA ukijaza ina load tu badae inacancel bila mafanikio

Nani amefanikiwa kufanya application

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kigezo cha umri kina sababu zake. Kumbuka hii taasisi imebadili mfumo wake wa kiutendaji kutoka mfumo wa kiraia na kwenda kwenye mfumo wa kijeshi.
Kwa hyo watakao fanikiwa ni lazima waende mafunzo ya kijeshi mlele miezi sita sasa lazima uangalie umri kuweza kuweza kufanya mafunzo. Hope nimeweza kujibu hoja ya umri angalia majeshi yote umri wa kujiunga hauzidi 30yrs

Tena...! Huyu nae anakuja na swaha zake za kijeshi....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kigezo cha umri kina sababu zake. Kumbuka hii taasisi imebadili mfumo wake wa kiutendaji kutoka mfumo wa kiraia na kwenda kwenye mfumo wa kijeshi.
Kwa hyo watakao fanikiwa ni lazima waende mafunzo ya kijeshi mlele miezi sita sasa lazima uangalie umri kuweza kuweza kufanya mafunzo. Hope nimeweza kujibu hoja ya umri angalia majeshi yote umri wa kujiunga hauzidi 30yrs

Sent using Jamii Forums mobile app
wewe hapo tanapa ni nani mzee wa kazi nataka unipe ramani hivi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom