TANAPA waanza usaili

kaka, kama unalo gazeti naomba utupie majina hapa kwa kupiga picha...

tumechelewa wengine ss wa mikoani kupata taarifa na hata kupata hilo gazet
 
Wabongo taabu, walioitwa ni waliomba nafasi ya chuo Pasiansi na wala si Tanapa.
 
Wabongo taabu, walioitwa ni waliomba nafasi ya chuo Pasiansi na wala si Tanapa.

Mtoa mada hajielewi na hizo nafasi tangu jana majina walioitwa kwenye usahili wa chuo pasiansi yapo ila amemeza TANAPA
 
Back
Top Bottom