TANAPA Sponsors SunderLand Team 2013/2014

Emc2

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
16,808
16,831
The players wore special t-shirts ahead of the home clash with Liverpool following the announcement of the club’s new partnership with Tanzania, which sees the country become the ‘Official Destination Partner’ of Sunderland AFC.

SAFC - Tanzania shirts
SAFC - Tanzania partnership announced
1.jpg

2.jpg

4.jpg
 
Nice move
Question is, is the projected inflow outweighing the invested capital?
What is the trend so far?
 
sitaki kujua gharama za matangazo hayo lakini nimefurahi kwa juhudi hizo
 
CAG amka baba

Mkuu

unamwamsha CAG ina maana hapo hakuna lolote zaidi ya ulaji tu? Ama unakusudia kusema neno halafu ukasita tafadhali sema nasi tujue. Nchi hii ina mambo mpaka woga

Nadhani kama hakuna fitna ni hatua nzuri.
 
Naunga mkono hyo move ya tanapa.. Sitaki kujua maswala ya CAG wala AG.. Kwa maana, hapo wametangaza utalii wetu kwa mamilioni ya watu duniani.. Tusiwaze kila kitu ufisadi, hatutaendelea!

TUWAAMINI TUWASAPOTI TUWATUMIE

Hongera Tanapa!
 
kwa mujibu wa tafiti zilizofanyika watalii wengi wanaokuja nchini wanakuja baada ya kusimuliwa na wenzao dili nyingi za kutangaza utalii ni kujitengenezea ulaji kila siku tunasikia timu zetu za ngumi na riadha zinapoenda kuwakilisha mashindano ya kimataifa zinalalamika kushindwa kufanya maandalizi kutokana na ukosefu wa pesa kwanini tanapa hazizisaidii kwani zikifanya vyema zitaitangaza vizuri nchi yetu halafu wanatudanganya sunderland wanakuja kuwekeza kwenye soka Tanzania kumbe ni pesa za TANAPA tujifunze kwa nchi zinazoendelea kwenye utalii duniani wanatumia njia gani kutangaza utalii wapo pia tuangalie kwenye takwimu watalii wengi wanatoka wapi ,tuangalie gharama za hoteli zetu,miundo mbinu ya kwenda kwenye vivutio vya utalii hapo ndio tutajua kama uwekezaji huo ni sahihi
 
in short haya mambo yanatakiwa yasifanywe na serikali, tuna private sector iwekeze kwenye hizo promotion tu

bodi na tanapa ziwe watunzi, wasimamizi wa sera na watoa miongozo ya nafasi, vivution, huduma na namna ya kulinda sekta nzima ya utalii
 
kwa mujibu wa tafiti zilizofanyika watalii wengi wanaokuja nchini wanakuja baada ya kusimuliwa na wenzao dili nyingi za kutangaza utalii ni kujitengenezea ulaji kila siku tunasikia timu zetu za ngumi na riadha zinapoenda kuwakilisha mashindano ya kimataifa zinalalamika kushindwa kufanya maandalizi kutokana na ukosefu wa pesa kwanini tanapa hazizisaidii kwani zikifanya vyema zitaitangaza vizuri nchi yetu halafu wanatudanganya sunderland wanakuja kuwekeza kwenye soka Tanzania kumbe ni pesa za TANAPA tujifunze kwa nchi zinazoendelea kwenye utalii duniani wanatumia njia gani kutangaza utalii wapo pia tuangalie kwenye takwimu watalii wengi wanatoka wapi ,tuangalie gharama za hoteli zetu,miundo mbinu ya kwenda kwenye vivutio vya utalii hapo ndio tutajua kama uwekezaji huo ni sahihi
 
Mkuu

unamwamsha CAG ina maana hapo hakuna lolote zaidi ya ulaji tu? Ama unakusudia kusema neno halafu ukasita tafadhali sema nasi tujue. Nchi hii ina mambo mpaka woga

Nadhani kama hakuna fitna ni hatua nzuri.

Mmezoea kula ruzuku na mtei saccos cdm ufpa mnafkri ata tanapa wapo hvyo apo wanakuza utalii kwa maendeleo ya nchi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom