Kuna kabila flani hivi wamejaa mle ndani kama wamerithi vile!Sio kweli Ngorongoro mchakato wa ajira haupitii utumishi
Kabila gani dada wamasai au?Kuna kabila flani hivi wamejaa mle ndani kama wamerithi vile!
silikumbuki ila walikuwepo wengi sana kazini kipindi nipo field huko!Kabila gani dada wamasai au?