smile m
Member
- Feb 5, 2019
- 20
- 27
Nimependa avata ako
Nimependa avata ako
Wamemaliza mafunzo juzi na kupangiwa kituo cha kazi wamepewa 14days za kupumzika afu waende kaziniAisee n kwel maana wengne tulifanya usahil mwaka jana mwez june,cjui kama hao waliomaliza mafunzo mlele n kada zote ziliitwa au baadh bado maana kila tuliekuwa nae ktk oral hana taarifa ya kuitwa kazin,still giza n nene
Waliita kada zote au baadh ya kada?,maana wenzangu tuliokuwa pamoja ktk oral wamenambia hawakuitwa na hawana taarifa ya kuitwa kada ya civil technicianWamemaliza mafunzo juzi na kupangiwa kituo cha kazi wamepewa 14days za kupumzika afu waende kazini
Kama we ni KE ni PM nakuhakikishia Kazi umepata. Mimi na Makonda ndio tunakula raha kuliko watu wote hapa Tanzaniapoa ngoja niende nikapate na uzoefu maana hii ndio itakua interview yangu ya kwanza.
Washaita tayariHawajaita watu kazini mpaka leo
Ukipiga ya mchujo kama leo bac kesho yake n oral mnafanyia HQ,hawachelewesh majibu ya mchujoJamaan waliowahi kufanya interview Tanapa inachukua siku ngapi kutoa kuitwa kwenye oral
Huo mtihani wa mchujo unakuwaje??Ukipiga ya mchujo kama leo bac kesho yake n oral mnafanyia HQ,hawachelewesh majibu ya mchujo
WENYE NIA NAWASHAURI NENDENIHatimaye nimepata barua pepe ya usaili tarehe 20 mwezi huu toka mwaka jana mwezi wa kumi na mbili ila nasikitika sitokwenda kufanya nataka nijiajiri tu.
Usaili wa TANAPA siwezi haribu nauri wakati najua hata kupata field mpaka ujuane na mtu wa TANAPA.
Asanteni TANAPA ila sitokuja.
zile za ngorongoro ndio wameitwa sioWashaita tayari
Yes bosszile za ngorongoro ndio wameitwa sio
Ahsante.Nimependa avata ako
Majina ya walioitwa kuanza kazi nayaona wapiYes boss
Wanapigiwa simu mkuuMajina ya walioitwa kuanza kazi nayaona wapi
Walitumiwa ujumbe mfupi wa maandishi (SMS), kama ulifanya oral na hukuona ujumbe wa maandishi jua hukufanikiwa.Majina ya walioitwa kuanza kazi nayaona wapi