TANAPA hatimaye wameniita kwenye usaili

Bora usiende mkuu, mimi niliendaga moja mwaka jana. Nilichoma nauli tu
 
Aisee n kwel maana wengne tulifanya usahil mwaka jana mwez june,cjui kama hao waliomaliza mafunzo mlele n kada zote ziliitwa au baadh bado maana kila tuliekuwa nae ktk oral hana taarifa ya kuitwa kazin,still giza n nene
Wamemaliza mafunzo juzi na kupangiwa kituo cha kazi wamepewa 14days za kupumzika afu waende kazini
 
Wamemaliza mafunzo juzi na kupangiwa kituo cha kazi wamepewa 14days za kupumzika afu waende kazini
Waliita kada zote au baadh ya kada?,maana wenzangu tuliokuwa pamoja ktk oral wamenambia hawakuitwa na hawana taarifa ya kuitwa kada ya civil technician
 
Jamaan waliowahi kufanya interview Tanapa inachukua siku ngapi kutoa kuitwa kwenye oral
 
Hatimaye nimepata barua pepe ya usaili tarehe 20 mwezi huu toka mwaka jana mwezi wa kumi na mbili ila nasikitika sitokwenda kufanya nataka nijiajiri tu.

Usaili wa TANAPA siwezi haribu nauri wakati najua hata kupata field mpaka ujuane na mtu wa TANAPA.

Asanteni TANAPA ila sitokuja.
WENYE NIA NAWASHAURI NENDENI
 
Hapakuwa na haja ya kuja kuguambia, ungewajibu hukohuko kwenye imeili yao kuwa hautaenda kwenye usaili wao.
 
Back
Top Bottom