TANAPA bado siku 3 deadline ifike ya maombi ya kazi lakini system yenu mbovu

Nawashauri tuu,mjaribu kutulia kwa umakini na computer zenu,system yao haina shida wala,labda kama network zenu sio nzuri,tulieni tuu kwa umakini,na kama huna uzoefu wa jinsi ya kucheza na mitandao(systems) mtafute mtu akusaidie.
Shida ipo tena kubwa tu... walioomba wanafahamu hilo... shule za kata au hata ambazo sio za kata hazipo kwenye database yao..., pia postcode haipo active HAIFANYI KAZI kwenye system zao...yapo mengi tu... Kuna baadhi ya skills hazipo na zilizopo zingine hazifanyikazi hazipo active.... hakuna kwa kufanya attachment angalau basi watu waweke attachment zao... hivyo bila kufanya hivyo ktk kuchakata huko kwao sijui nini kitatokea...
 
System yao kwel ina shida. Mm nilifanya maombi mapema nilifanikiwa japo kwa mbinde. Nilijaza Reg. Form nikasubmit nikapewa error. Nikajaribu kwa email zangu 4 zote nikapew error. Nilikata tamaa. Baada ya siku 2 nilitumiwa confirmation msg kwenye email zote 4. Nilichagua email moja nikaconfirm na kuanza kazi na nikafanikiwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom