TAMWA Muokoeni mtoto Faraja aliyetelekezwa mwenge stand na mwajiri wake mama bethy! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TAMWA Muokoeni mtoto Faraja aliyetelekezwa mwenge stand na mwajiri wake mama bethy!

Discussion in 'Celebrities Forum' started by King Kong III, May 29, 2012.

 1. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #1
  May 29, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Ni story ya kusikitisha sana ambayo mama bethy masanja(mwajiri) amemtelekeza mfanyakazi wake wa ndani mwenge stand na kumkimbia,tamwa na uwt(wote gender na tiss) wamfatilie huyo mama anaonekana ni jeuri flani hivi.

  Nita-upload audio clips yote ya interview kati ya supamix(baruti na zembwela) waliyofanya na mtoto faraja(17yrs gyal)

  Nawasilisha
   
 2. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #2
  May 29, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,060
  Likes Received: 6,509
  Trophy Points: 280
  Labda mngeidokeza serkali ya mtaa hapo kwenye
  hayo maeneo ili wamsaidie huyo binti.
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  May 29, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Ngoja tuifatilie hii issue nadhani policcm wamelala wanasubiri taarifa wapelekewe ofcn.
   
Loading...