SIMULIZI RIWAYA
JF-Expert Member
- Feb 19, 2022
- 415
- 1,275
Hivi sasa Series za kibongo zimefanya watanzania wawe busy kusupport kazi za nyumbani. Tamthilia kama JUA KALI, PAZIA, PINI, SINGLE MOTHER, MWANAMZIKI KITASA n.k Zinafatiliwa sana.
Inafaa kabisa kukubali kuwa Series zimeweza kurudisha heshima ya bongo movie kama hapo awali, PONGEZI KUBWA ZIWAENDEE DSTV, STAR TIMES NA AZAM.
Tatizo kubwa ni moja, unakuta msanii mmoja anaigiza kwenye Tamthilia zaidi ya tatu na zote zinaruka muda mmoja, tena mbaya zaidi unaweza kukuta Uhusika anaocheza katika Tamthilia moja ndio huo huo anacheza katika Tamthiliya nyingine.
Au mbaya zaidi unakuta hii anacheza kama
mwalimu, nyingine kama Daktari, nyingine
kama Slay Queen yani mpaka kero kutazama, mara tamthilia hii Kafariki then siku hiyo hiyo unamuona yuko hai anaigiza tamthilia nyingine.
Ni vituko hivi, je tatizo huwa ni nini mpaka
haya yanatokea? ni kwamba Tanzania hakuna vipaji kwahiyo wanatumiana hao hao? Au hao ndio wamiliki wa Bongo movie hivyo hawatakiwi watu wapya kwenye tasnia?
NAJIULIZA SANA, HIVI HAWA WASANII
WANAOIGIZA TAMTHILIA ZAIDI YA MBILI
HIVI HUWA WANAPATA HATA MUDA WA
KUSOMA SCRIPT? REHEARSAL WANAFANYA KWELI?
TAJA MSANII AMBAYE UNAMUONA KWENYE SERIES ZAIDI YA MOJA.