Azam TvNi ipi hiyo ipo kwenye kig'amuzi gani?
Jumamosi marudiano ya week nzimaWahindi hapa wamefanya utunzi mzuri.
Nilishawishiwa kuitazama na member wa humu.
Mdada Yna.
Kuna mwingine anayeitazama?
Mara nyingi huwa nakosa nafasi ya kuitazama, kama kuna wafuatiliaji naomba muwe mnatujuza kinachoendelea.
Ebu naomba ratiba yake mpenzi ni kuanzia saa ngapi nimeiangalia jana jioni nimeipendaJumamosi marudiano ya week nzima
Ebu naomba ratiba yake mpenzi ni kuanzia saa ngapi nimeiangalia jana jioni nimeipenda
Mh nahisi sio hii niliyoiangalia jana nilimuona eshrev pasha achana na wounded loveSaa sita mchana na kuendelea.
Tunaotumia Stv tunasemaje?Ndo tamthilia inayofatiliwa sana kwa sasa tz nzima
Tamthilia nina uzito nazo SanaSeries niliyowahi kupenda ni Jamai Raja tu. Tena niliipenda ajili ya wale wadada wa Azam wanao Tafsiri. Wanasauti tamu mno
Sawa, nilifikiria ni AzamStartimes Swahili.