Tamthilia ya Waris ni nzuri sana

uran

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
7,060
10,120
Wahindi hapa wamefanya utunzi mzuri.
Nilishawishiwa kuitazama na member wa humu.

Mdada Yna.
Kuna mwingine anayeitazama?
Mara nyingi huwa nakosa nafasi ya kuitazama, kama kuna wafuatiliaji naomba muwe mnatujuza kinachoendelea.
 
Unafatilia na bado unataka wakujuze mkuu
Huwa naikosa sana mkuu.
Inatokea muda inapoonyeshwa siko room.
Majukumu yananilazimu kuchelewa kurudi.

Leo nimeibahatisha ila jana sikuweza. Na ijumaa pia sikuweza.
 
Wahindi hapa wamefanya utunzi mzuri.
Nilishawishiwa kuitazama na member wa humu.

Mdada Yna.
Kuna mwingine anayeitazama?
Mara nyingi huwa nakosa nafasi ya kuitazama, kama kuna wafuatiliaji naomba muwe mnatujuza kinachoendelea.
Jumamosi marudiano ya week nzima
 
ni nzuri kiaina, sema uong mwingj, ingekua ni wazungu ungeona manu anakua kwa sura ileile, lakini kwenye waaris hakui
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom