USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 9,892
- 22,649
Kama unafatilia hii tamthilia kwenye kisimbuzi cha Azam bila shaka kuna jambo umejifunza kuhusu roho mbaya ya mabeberu na ukisiakia watu wanatamani kutawaliwa upya au kupenda kauli ya Trump kuwa Afrika inafaa kutawaliwa.
Kuna watu wanatamani hao mabeberu warejee na wanawapa promo na kupenda kuangamiza taifa hili kwa kuwapendelea wazungu hii tamthilia inawahusu wajifunze.
Wazungu hawakuwa watu ,mateso,matusi hayatamkiki yanauma na kujaa hisia za chuki, kweli hawa wazungu sio kabisa
Hii tamthilia inajambo la kufunza watu hapa Tanzania
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app