Tammy Abraham, mchezaji wa chelsea F.C na timu ya Taifa ya England aikana nchi yake ya Nigeria

RAKI BIG

JF-Expert Member
Apr 26, 2020
394
456
"Kuna sababu za msingi ambazo zilinifanya nichague kuichezea timu ya Taifa ya England badala ya Nigeria, sababu ya kwanza ni wazi Nigeria haina nafasi kwenye michuano ya Kombe la Dunia wakati England ina nafasi kubwa ya kushinda Kombe la Dunia.

Sababu ya pili ni kwamba siwezi kuimba wimbo wa Taifa wa Nigeria vizuri, sababu ya tatu michuano ya Euro ni bora sana kuliko AFCON, mimi ni Muingereza zaidi kuliko Nigeria"
Tammy Abraham

103495386_1535903939900008_4184169532271351577_n.jpg
 
"Kuna sababu za msingi ambazo zilinifanya nichague kuichezea timu ya Taifa ya England badala ya Nigeria, Sababu ya Kwanza ni wazi Nigeria haina nafasi kwenye michuano ya Kombe la Dunia wakati England ina nafasi kubwa ya kushinda Kombe la Dunia, Sababu ya pili ni kwamba siwezi kuimba wimbo wa Taifa wa Nigeria vizuri, Sababu ya tatu michuano ya Euro ni bora sana kuliko AFCON, Mimi ni Muingereza zaidi kuliko Nigeria"
Tammy Abraham

View attachment 1474153
Hivi anaamini ataheza kombe la dunia na england?
kwa kiwango kipi?
 
Back
Top Bottom