Tamko wa Wanafunzi wa Vyuo Vikuu limenikuna sana. Fundisho kwa wanasiasa vilaza!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tamko wa Wanafunzi wa Vyuo Vikuu limenikuna sana. Fundisho kwa wanasiasa vilaza!!!!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by chidide, Jan 31, 2011.

 1. c

  chidide Member

  #1
  Jan 31, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 91
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Safi sana vijana, uvccm ilikuja na siasa tope. Kwa nini UVCCM itumike kuwachafua watendaji wa Serikali instead of wanasiasa wanaotekeleza sera za CCM? Walitakiwa kuanza na Wazirir Mkuu then waziri anayehusika na bodi ya mikopo, maana watendaji wao wanafuata sera inasemaje. Kwa nini tuwaonee watu wanaohangaika na kazi za utendaji kila siku huku vipato vyao ni vidogo? Wizara ina waziri na manaibu wake, hivi wanfanya nini katika hili? Kwa nini Ridhiwani unawaonea wazee wa watu ambao ni kama baba zako kwa kuwaita wazembe? Hivi unafikiri wewe ni special one? Umesahau ulivyokuwa una desa chuo? Hii si adabu, nasema kuweni waangalifu na muwe na adabu.
   
 2. kweleakwelea

  kweleakwelea JF-Expert Member

  #2
  Jan 31, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 2,422
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  rz1 anakosea sana.anajiona ye ndo raisi.bado kidogo hii itamcost kwelikweli
   
 3. Madela Wa- Madilu

  Madela Wa- Madilu JF-Expert Member

  #3
  Jan 31, 2011
  Joined: Mar 24, 2007
  Messages: 3,074
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Sasa tamko lenyewe liko wapi?
  Wengine tuko huku Ughaibuni hawatupendi nasi hatuwapendi.
  Tupe basi hilo tamko kirefu kisha maoni yako tutayaelewa.
   
 4. Mpandafarasi

  Mpandafarasi Member

  #4
  Feb 1, 2011
  Joined: Dec 7, 2008
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapo Mkuu umenikumbusha kitu. Kuna tetesi kuwa Bw Ridhiwani alikamatwa( alifail exams vibaya) na akawa Discontunued pale Mlimani na kisha akarejeshwa tena shule kwa mgongo wa Faza wake enzi hizo JK akiwa Mambo ya nje. Na vipi kuhusu Masters yake huko UK?Amegraduate? Wenye data naomba mtupe hapa tumjadili na tumfahamu vema huyu kijana.

  Nawasilisha
   
 5. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #5
  Feb 1, 2011
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 2,287
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Tusaidieni hilo Tamko wakuu ili nasi tulione na kulifanyia tathmini.
   
 6. Freestyler

  Freestyler Senior Member

  #6
  Feb 1, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 199
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Tamko kwanza!.....
   
 7. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #7
  Feb 1, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  Tamko la wanafunzi wa chuo kikuu au tamko lako binafsi?
  good point though!!
   
 8. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #8
  Feb 1, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Tamko liko wapi?
   
 9. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #9
  Feb 1, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  This thang is a bit smelly!...huh!
   
 10. U

  Uncle Jei Jei JF-Expert Member

  #10
  Feb 2, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,203
  Likes Received: 945
  Trophy Points: 280
  Uliyeanzisha mjadala: Toa hilo tamko basi au umesahau linahusu nn??Msaada kwa aliye-come acros!
   
Loading...