Chakubanga na ujuha wake badala ya kwenda kumhoji muhuni mwenzie aliyekuwa chanzo cha maandamano anataka kuleta longo longo huyu mpuuzi mwingine.
Kabla hajaamua kujitoa ufahamu alikuwa anaongea mambo ya maana.
Hili kweli li chakubanga alafu anatokea MTU anasema hichi chama ni chama cha wanyonge Hawa si wauaji tu mambwa koko haya