Elections 2010 Tamko rasmi la CCM kuhusu kuanguka kwa rais Kikwete

Nyambala

JF-Expert Member
Oct 10, 2007
4,465
1,170

Spin masters kama kawaida yao!

Wanasema angefika Mwanza asubuhi mpaka sasa hivi hajafika bado sijui asubuhi haijaisha? Why not take a rest mkuu??????????????????
 
Last edited by a moderator:
Huyu Kinana si ni Msomalia? Kwanini anakuwa msemaji wa watanzania?
yupo hapo kutetea biashara zake, si kuna makontena ya nyara za serikali zilishikwa asia huko, na mzigo kampuni yake ndio iliyo safirisha? na bado anataka kuwekeza hapo bandarini.
 
Spin masters kama kawaida yao!

Wanasema angefika Mwanza asubuhi mpaka sasa hivi hajafika bado sijui asubuhi haijaisha? Why not take a rest mkuu??????????????????
Hawa CCM mimi nawashangaa sana mwenzao anaumwa baada ya kumpumzisha hata kwa siku moja bado wanambebesha mzigo kwa maslahi yao......bora punda af....... lakini mzigo wa tajiri ufike, very sad.
 
Hawa CCM mimi nawashangaa sana mwenzao anaumwa baada ya kumpumzisha hata kwa siku moja bado wanambebesha mzigo kwa maslahi yao......bora punda af....... lakini mzigo wa tajiri ufike, very sad.

It is all about u-populist wa mgombea, cha ajabu kuna yale matamko kwamba alikaidi ushauri wa madaktari wake as if hiyo ni sifa!!!!!!!
 
Mungu hataki kauli za watu waongo..
Wanaadhibiwa hapa hapa
Duniani

Last edited by a moderator:
Spin masters kama kawaida yao!

Wanasema angefika Mwanza asubuhi mpaka sasa hivi hajafika bado sijui asubuhi haijaisha? Why not take a rest mkuu??????????????????

Na kweli hakuna updates zozote toka Mwanza?

na

Ni ... Kiukweli.... President angetakiwa kupumzika siasa hadi Miaka mitano ijayo...!!
 
One of the body languages which indicates somebody a liar is: While talking, they tend to touch their face, throat, mouth or scratch their nose or behind their ear. At 1:02, you can see he is scratching behind his ear.

I wonder, why is he so nervious while giving this speech? what's up with all those hand shaking all over the podium?
 
Za muongo zitajulikana tu, mwacheni jamani, Hata Amina chifupa alikuwa akiongea anajishika usoni wakati wa issue ya madawa ya kulevia, sasa huyu sijui ni nini. Ila sijasema kama wanausiana.
 
Hawana jipya hawa kwani mnadhani wangetueleza nini kama siyo kumpamba huyu mtalii wao?
 
Hivi hawa CCM wanataka kutufanya sisi watanzania ni wajinga kiasi hicho? JK pamoja na kwamba yeye Mwana CCM, lakini kwa nafasi yake ya urais ni zaidi ya ccm.
CCM haipaswi iwe na final say ya matatizo yanayomsibu kiongozi wa juu wa nchi, kwani likitokea litakalotokea, si CCM itaadhirika pekee bali wananchi kwa ujumla hata kama si mwanachama wa CCM.
Huyu JK ashauriwe tu apumzike, kwani afya yake ni bora kuliko kurais, maana akifa atachaguliwa tu raisi mwingine.
Sijui kama madactari wake wanamshauri vyema juu ya afya yake, au hakubali ushauri wa madaktari?
MIMI lawama zangu ni kwa MAdactari wake na usalama wa Taifa kwa kutosimamia nafasi zao vizuri.
 
Ndio hvyo.... yaan tusipokua makini watakuwa wanadiskasi mambo ya chama bungeni kama wamefkia hatua ya kutamka kuhusu afya ya rais.Yaan wanashindwa kutofautsha kati ya CCm na serikali
 
Hili hapa chini nalo neno (it's an excerpt from Tanzania Daima's "Maswali Magumu" column:

QUOTE

Haitoshi kabisa kusema kwamba rais hana tatizo lolote la kiafya ....................
Tunavyojua, kwa kawaida, watawala na wanajeshi hawaanguki hovyo hovyo - tena hadharani. Si kawaida, ni aibu, na haitarajiwi kwa watawala na wanajeshi kuzidiwa na kuanguka hadharani. Inakuwaje Amiri Jeshi Mkuu, mtawala na mwanajeshi kitaaluma azidiwe na kudondoka mara kadhaa......................................
UNQUTE
 
yupo hapo kutetea biashara zake, si kuna makontena ya nyara za serikali zilishikwa asia huko, na mzigo kampuni yake ndio iliyo safirisha? na bado anataka kuwekeza hapo bandarini.

Wewe August wacha kuzua uongo kwa wenzako. Una kithibitisho gani? Jamani musichukue rumours mukazigeuza kuwa facts.
 
Back
Top Bottom