TAMKO:Mipango Michafu Yote ya kuwaangamiza Watetea haki za Wanyonge ife.

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,873
1,216
Natoa tamko nikiwa kama Raia Tanganyika iliyofutika,Kuwa Mipango yote inayopangwa iwe ya kishirikina,Ya kimauaji,yenye nia ya kuwafunga Mdomo Watanganyika wenye Uchungu na Ustawi wa Taifa hili ife mara moja,Nawaagiza Waliopangwa kufanikisha hayo hamtamgusa hata mmoja,kila mlililo lipanga kwa Mwenye uchungu na nchi yawakute wenyewe.
Vyombo vyote vya ulinzi ambavyo ndani yake kuna wasiowema ambao wanatabia hyo waache mara moja.
....
Over
 
Natoa tamko nikiwa
kama Raia Tanganyika iliyofutika,Kuwa Mipango yote inayopangwa iwe ya
kishirikina,Ya kimauaji,yenye nia ya kuwafunga Mdomo Watanganyika wenye
Uchungu na Ustawi wa Taifa hili ife mara moja,Nawaagiza Waliopangwa
kufanikisha hayo hamtamgusa hata mmoja,kila mlililo lipanga kwa Mwenye
uchungu na nchi yawakute wenyewe.
Vyombo vyote vya ulinzi ambavyo ndani yake kuna wasiowema ambao
wanatabia hyo waache mara moja.
....
Over

tamko limekaa ka dua la kuku........!
 
Kalipiganie Mwanahalisi kwanza. Halafu si vizuri kutolea matamko vichochoroni.
 
Natoa tamko nikiwa kama Raia Tanganyika iliyofutika,Kuwa Mipango yote inayopangwa iwe ya kishirikina,Ya kimauaji,yenye nia ya kuwafunga Mdomo Watanganyika wenye Uchungu na Ustawi wa Taifa hili ife mara moja,Nawaagiza Waliopangwa kufanikisha hayo hamtamgusa hata mmoja,kila mlililo lipanga kwa Mwenye uchungu na nchi yawakute wenyewe.
Vyombo vyote vya ulinzi ambavyo ndani yake kuna wasiowema ambao wanatabia hyo waache mara moja.
....
Over

Aaaaaamiiiiin
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom