Tamko la Wanachadema Mkoa wa Mwanza - Sababu zilizotolewa na kamati kuu hazikubaliki

Hellow,

attachment.php
 
nvibaraka wa kile kinachoitwa CHADEMA KASKAZ
Maamuzi ya kamati kuu ya tarehe 20-21 /11/2013 ya kuwavua uongozi Mh: Zitto Zuberi Kabwe, Kutaka kuona usawa wa kimadaraka kwa viongozi wote bila ubaguzi wa aina yoyote kuanzia ngazi ya chini mpaka Taifa kinyume na ilivyo sasa hasa makao makuu ya chama ambapo ukanda na ubaguzi wa hali ya juu umetawala.
kWA HIYO HII nI ID YA GWANCHELE?

HOJA ZA CHUKI DHIDI YA WATU WA KASKAZINI, WACHAGA, NA SUALA LA DINI HAVITAMWACHA ZITTO WALA CCM IMARA KISIASA!...
PIGENI DEBE SAANA ILI UDINI, UKANDA NA UKABILA UJENGEKE!... ZITTO aKIHAMIA CHAUMMA "UKIGOMA" NA UDINI WA CHAMA HIKI UTAONEKANA... AKIHAMIA CCM NI HIVYO HIVYO!...
DHAMBI HII HAIACHI MTU!... CHAUMMA BAADA YA KUANZISHWA NA ZITTO SASA AMEMUWEKA MUHA MWENZIE NA MTU WA DINI YAKE HASHIM RUNGWE KUWA MWENYEKITI...
 
Chadema, nini kimewapata mwaka huu?

Mtamkumbuka Zitto Zubeir Kabwe, ogopeni ndimi za wanyonge, ni laana.
HOJA ZA CHUKI DHIDI YA WATU WA KASKAZINI, WACHAGA, NA SUALA LA DINI HAVITAMWACHA ZITTO WALA CCM IMARA KISIASA!... PIGENI DEBE SAANA ILI UDINI, UKANDA NA UKABILA UJENGEKE!... ZITTO aKIHAMIA CHAUMMA "UKIGOMA" NA UDINI WA CHAMA HIKI UTAONEKANA... AKIHAMIA CCM NI HIVYO HIVYO!... DHAMBI HII HAIACHI MTU!... CHAUMMA BAADA YA KUANZISHWA NA ZITTO SASA AMEMUWEKA MUHA MWENZIE NA MTU WA DINI YAKE HASHIM RUNGWE KUWA MWENYEKITI...
 
Back
Top Bottom