hawa wasinasibu kuwa ni vijana wasomi bali ni vijana wanaokariri
hiyo taarifa yao imejaa, mapungufu kibao sasa kama usomi umeishia kwenye mtazamo huo ni
dhahili kuwa serkali imeingia hasara kubwa sana kuwa na taifa la wasomi wa aina hiyo
siku za mbeleni
Wamehamisha njaa kutoka tumboni hadi kichwani, imeharibu mishipa yote ya fahamu.Mbona hawazungumzii kasoro za ajabu katika uchaguzi. Msomi makini ni yule anayejua jinsi ya kujenga hoja kuanzia vijenzi vyake (premises) na kisha kutumia viashiria hivyo kupata hitimisho (conclusions). Udom msikiaibishe chuo ndio kwanza kimeanza tu, kina safari ndefu katika uwanda wa weledi na taaluma.