Tamko la vijana wa Kagera kuhusu ziara ya Nape

Sina hakika hapo kama ni 2 in1 au 3 in 1!!! Maana kuna shughuli za kichama, Msibani kwa rafiki wa baba na ..... loading....!! Oh kucheza Golf.
 
Nape hakwenda Kagera rasmi kwa kuhudhuria mazishi bali alikwenda kwa shughuli za kichama na ukweli alikwenda akijua mazishi ya Dr Kyaruzi (mwanzilishi wa TAA rafiki mkubwa wa senior Nnauye RIP na ambae ni kama baba kwa Nape) yameshafanyika. Mambo matatu;
1)Kwa Nape mazish ya Dr Kyaruz RIP yalishafanyika na hakueza kuhudhuria kwakua ............. ila alikua na ratiba ya shughuli za kichama huko huko Kg
2)Hakukua na mpango wowote wa uwakilishi toka kwa chama chao kwan mazish kwao yalishafanyika hvyo kwa bahat mbaya Nape akakuta bado.
3)Hakukua na uwakilishi wowote wa kiongoz wa juu kitaifa, hata kama Nape alitumwa rasmi na chama bado haez kuliwakilisha Taifa.
kumbukumbu imewekwa.
 
Nape mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe, niliwahi kukuambia hapa narudia tena, wewe ni heavy weight kwa wapinzani koko ndio maana watapiga kelele kwa kila move yako. Uliwachoma sana huko Bukoba nadhani hizi kelele ni maumivu.

kweli nape ni heavy weight (kichwa ngumu). pamoja na kumsifia kote huko hajabonyesha kitufe cha "Like" ???
 
Back
Top Bottom