Tamko la vijana wa Kagera kuhusu ziara ya Nape

... HIVYO MAREHEMU KYARUZI NI SAWA NA BABA YANGU.. Huu ni Uongo Mbaya. kama alikuwa kama baba yako ilikuwaje usijue kama ameeishazikwa au bado? ... DR. KYARUZI ALIKUWA RAFIKI MKUBWA WA MAREHEMU BABA YANGU MZAZI BRIG. GEN MOSES NNAUYE,... Utakua lini uache uongo?

Kitaifa nani aliwakilisha CCM katika msiba mnaojua kuwa ni muasisi wa TAA...?

Ukiwa CCM lazima ujue kujibadilibadili kama kinyonga!! CCM Kwisha Kwisha Kwisha kabisa. RIP
 
Nape watch your steps and words.

Try to make calculated moves in whatever you Do. hata kama wanakutuma Jaribu na wewe kuhoji.

Huko huko CCM wanakusema vibaya sana. Kuna wanaokusifu na kuna wanaodai wewe ndio unauwa chama.

kwa masikio yangu nimesikia Kauli hii kutoka kwa mwana ccm ''Ni kipindi gani CCM imepata Mpasuko mkubwa kama enzi za Nape''

Hivi Nape, hao walioko CCM walishindwa kupayuka Lowasa na Rostam ni mafisadi? Naona kijana uliingia na kuwapa Mapacha watatu siku 90 wavue gamba, haya amevua mmoja bado wawili. Zile mbio ziliishia wapi?????

Jaribu kukaa na wazee wakushauri, Take your time speak to Mzee Makamba, Pius Msekwa, John Malichela, Mkapa et al.

Usiende kichwa kichwa Dogo
 
Majibu ya Nape ni confirmation kwamba CCM na serikali yake wamemtelekeza huyu mpigania uhuru, to me that's unforgivable.Rais aliahirisha safari yake ili kwenda kwenye msiba wa Kanumba lakini kwa mpigania uhuru wa nchi imeshindikana kumtuma hata kiongozi mmoja?
Na Nape uanfanyaje siasa eneo la msiba tena msiba wa rafiki wa karibu wa baba yako?
 
Kimasha,

Hebu niambie wapi nilipokosea mimi, ni bora kwako ningeenda kwenye shughuli nisipate muda wa kutoa pole msibani kuliko nilivyopita msibani kutoa pole pamoja na kuwa nilikuwa naratiba nyingine??!! Usitake niamini ziara yangu Kagera imekuumiza kiasi cha kuanza ksasa kuzua mambo yasiyokuwepo!

Kuna uongo mwingi wa ajabu kwenye kauli yenu, nimetoa kidogo sana lakini hata swala la KUFUNGUA MATAWI SIJUI MASHINA, SIJAFANYA POPOTE KAGERA KAZI HIYO, SASA KINACHOWAWEWESESHA NI NINI?

Ushauri wangu jipangeni upya kuleta tuhuma zenu, vinginevyo ni sawa na kutafuta matope kwenye simenti iliyodekiwa!
 
NAOMBA IJULIKANE KUWA KAGERA SIKWENDA RASMI KWA AJILI YA KUHANI MSIBA, ISIPOKUWA NILIKWENDA KWA SHUGHULI ZANGU ZA KICHAMA NA KWAKWELI NILIJUA MAZISHI YAMESHAFANYIKA YA DR. KYARUZI NIKIWA DAR NIKAMWOMBA KATIBU WA MKOA KUWA NIKIWA MISENYI NIENDE NYUMBANI KUWASALIMIA WAFIWA, AKANIAMBIA HAWAJAZIKA, NA ILIKUWA WAZIKE KESHO YAKE YA SIKU NILIYOENDA KAGERA, NIKAMWAMBIA BASI NITAPITA MSIBANI KUTOA POLE.
Kumbe shughuli za chama kwako ni zaidi ya msiba wa baba (alikuwa kama baba yako) yako!
 
Majibu ya Nape ni confirmation kwamba CCM na serikali yake wamemtelekeza huyu mpigania uhuru, to me that's unforgivable.Rais aliahirisha safari yake ili kwenda kwenye msiba wa Kanumba lakini kwa mpigania uhuru wa nchi imeshindikana kumtuma hata kiongozi mmoja?
Na Nape uanfanyaje siasa eneo la msiba tena msiba wa rafiki wa karibu wa baba yako?

FLM,

Hatuta yasema yote hapa lakini itoshe kusema alichothibitisha Nnauye Jr, kama huyu ndiye Nape M. Nnauye, Katibu Mwenezi wa CCM, basi ni uthibitisho wa AIBU iliyopitiliza. Sasa hiyo kampeni mpya wanahamasisha nini iwapo UZALENDO ndo unaenziwa hivi?

Kwa kurejea tabia yake, nimechukua screen shots ili aki-edit na akurudi kukana nimpe nakala zake halisi.
 
Mlachake,

Nimefika hapa nilipofika si kwa kutumwa ninajua nilipotoka, nilipo na ninakokwenda. Sibahatishi. Inashangaza huruma mnazojifanya kuwa nazo kwangu, tangu lini??!!! Kila mara huwa nasoma kwa mshangao, oooh Nape unapotea, ndo mwisho wa siasa zako, huna future, utafukuzwa CCM na maneno mengine mengi mtakavyo....

Nani kawaambia nilizaliwa kuwa mwanasiasa? Nani kawaambia sijaenda shule na hivyo siwezi kufanya kazi zingine?! Mnanitukana matusi yote mnayotaka na kuzusha yote mpendayo, mfurahishe nafsi zenu, lakini nataka nikuhakishie HAYANIVUNJI MOYO KWANI NAJUA NIFANYALO.....
Nape watch your steps and words.

Try to make calculated moves in whatever you Do. hata kama wanakutuma Jaribu na wewe kuhoji.

Huko huko CCM wanakusema vibaya sana. Kuna wanaokusifu na kuna wanaodai wewe ndio unauwa chama.

kwa masikio yangu nimesikia Kauli hii kutoka kwa mwana ccm ''Ni kipindi gani CCM imepata Mpasuko mkubwa kama enzi za Nape''

Hivi Nape, hao walioko CCM walishindwa kupayuka Lowasa na Rostam ni mafisadi? Naona kijana uliingia na kuwapa Mapacha watatu siku 90 wavue gamba, haya amevua mmoja bado wawili. Zile mbio ziliishia wapi?????

Jaribu kukaa na wazee wakushauri, Take your time speak to Mzee Makamba, Pius Msekwa, John Malichela, Mkapa et al.

Usiende kichwa kichwa Dogo
 
Last edited by a moderator:
.....Nilikuwa natafakari nini kilichowauma kwa ziara yangu ya siku moja Kagera sasa nimegundua....loading.. poleni sana, sina jinsi ya nimelelewa kusimamia haki na ukweli, na ndivyo nilivyo sitabadilika
Kumbe shughuli za chama kwako ni zaidi ya msiba wa baba(alikuwa kama baba yako) yako!
 
niliwaambia siku nyingi huyu sio politician ni mganga njaa mapicha yote akiwa kwenye ndege kucheza golf kukata utepe ni kuonesha hajui alifanyalo,anataka publicity inayoyokiua ccm na yeye pia is not serious at all hawezi hata kuorganise vijana atakiweza chama r.i.p​ ccm
 
Huyu mpuuzi kasoma shule wapi wanapofundisha kuandika all caps?

Is this the best and brightest CCM can offer? Hata kabla sijaanza kusoma content format ishanichosha.
 
kati ya vijana wapuuzi nchini tanzania..mmoja wao ni huyu nape nnauye..majibu yake ni upuuzi tosha..kuna yule mwingine mwenzake mwenye mwili mkubwa lakin anazidiwa akili na mwanangu Blanca...ovyo kabisa...


kweli nape huna AKILI
 
Kiongozi mwenye maadili na busara hakurupuki hivyo kabisaaa .
 
Msiba wa rafiki ya babako usijue wanazika lini na wapi? Okay, sawa tuache hilo, sasa tuambie kuna kikao chochote kilichoidhinisha hiyo kampeni ya Vua Gamba, Vua Gwanda, Vaa Uzalendo? au ndo unathibitisha madai ya kugeuza chama cha magamba kuwa kampuni yako binafsi? tena tutakushitaki kwa kupiga photocopy kampeni ya CDM.
 
Nnauye Jr,

Rafiki wa baba yako mzazi ambaye ni sawa na baba yako, Nape ulikwenda kumuona au kumjulia hali mara ngapi maana alikuwa amelazwa hospitali.

Unaomba Katibu wa Mkoa akupeleke kwa rafiki yake baba yako ambaye ni sawa na baba yako, kwa maana hiyo hukupajua nyumbani kwake ila ulisikia historia ya urafiki.

Rafiki yake baba yako ambaye ni sawa na baba yako amefariki umeshindwa kukatiza ziara ya kichama ambayo ungeendelea nayo baada ya kuwa msibani mkiomboleza na ndugu zako (watoto wa marehemu).

Nape acha usanii hapa jukwaani siyo eneo la Ngonjera, umeshindwa kabisa wala hapa hujinasui lakini pia kwa kuonyesha uhusiano uliokuwepo kwenye familia zenu chukua nafasi hii WAOMBE RADHI VIJANA. Laaana zako hazina mashiko ila wewe utalaaniwa kwa kukosa maadili.
 
Last edited by a moderator:
Nape akiwa kwenye ziara ya kuimarisha chama bukoba.

16.+Nape+alipata+fursa+pia+kucheza+gofu+kwenye+viwanja+vya+mchezo+huo+vya+Dioniz+Malizni+%28kulia%29+nje+kidogo+ya+mji+wa+Bukoba.jpg


17.+Nape+katika+Gofu.jpg
 
Nape,

Mkuu wangu vipi tena mbona unajichanganya mwenyewe ktk maelezo yako. Mara huyu mzee ni kama baba yako mzazi halafu nilitegekmea umeenda Kagera kumzika baba yako kumbe hukwenda kumzika bali ulienda kisiasa na kucheza golf wakati wa msiba mkubwa kama ule...

Halafu unalaani kitendo cha mwandishi kuhusisha kifo hicho na siasa. Hapa wala sintokuelewa kabisa maana wewe mwenyewe umeifanya siasa halafu unalaani kitendo chako kinapotafsirika kisiasa.
 
Nape ukomavu wa kisiasa ni kukiri makosa tu, Dr. Kyaruzi umemfananisha na baba ako R.I.P mzazi Moses sasa iweje ukauza sura msibani kisha huyooo ukaendelea kuvua magamba na magandwa badala ya kubaki msibani?
 
UTAGUNDUA KUNA KITU KIMEJIFICHA NYUMA YAKE HATA YULE MALINZI KAFUATANA NAE KWA AJILI YA MAANDALIZI YA KUTAKA KUGOMBEA UBUNGE 2015 POLENI SANA:israel:
 
Back
Top Bottom