Byendangwero
JF-Expert Member
- Oct 24, 2010
- 871
- 56
Mwito uliotolewa na uvccm wakutaka suala la Dowans kurudiwa upya ni mpango uliosukwa na wahusika wakuu wa kashfa hiyo kwaajili ya kujisafisha. UVCCM ianatumika tu kama kipaza sauti kwaajili ya kuuza mpango huo kwa umma.