Tamko la UKAWA baada ya Naibu Spika kutangaza kukata posho

barafu

JF-Expert Member
Apr 28, 2013
6,739
32,866
TAMKO LA WABUNGE WA UKAWA DHIDI YA UAMUZI WA NAIBU SPIKA KUWAKATA POSHO.

Kuwa mpinzani katika nchi za Afrika kunahitaji moyo sana wa uvumilivu na kujitoa mhanga wakati mwingine!!

Azimio la bunge la kuzuia wabunge wa UKAWA kulipwa posho halitabadili msimamo wetu mana tulifanya hivyo ktk bunge Maalumu la Katiba kwa kuacha malipo ya milioni 30 hivyo basi hili si geni kwetu.

Tutasimama imara mpaka dakika ya mwisho kupinga udhalimu unaofanywa na naibu spika katika kuendesha bunge kidikteta dhidi ya upinzani.

Silinde Ernest David(Mb)
Jimbo la Momba
Msemaji wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni - wizara ya Fedha na Mipango.
08.06.2016
Dodoma, Tanzania.
 
TAMKO LA WABUNGE WA UKAWA DHIDI YA UAMUZI WA NAIBU SPIKA KUWAKATA POSHO.

Kuwa mpinzani ktk nchi za afrika kunahitaji moyo sana wa uvumilivu na kujitoa mhanga wakati mwingine!!

Azimio la bunge la kuzuia wabunge wa UKAWA kulipwa posho halitabadili msimamo wetu mana tulifanya hivyo ktk bunge Maalumu la Katiba kwa kuacha malipo ya milioni 30 hivyo basi hili si geni kwetu.

Tutasimama imara mpk dakika ya mwisho kupinga udhalimu unaofanywa na naibu spika ktk kuendesha bunge kidikteta dhidi ya upinzani.

Silinde Ernest David(Mb)
Jimbo la Momba
Msemaji wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni - wizara ya Fedha na Mipango.
08.06.2016
Dodoma, Tanzania.

Who Cares?
 
Back
Top Bottom