Shambaboy jogoli
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 1,223
- 1,624
Kawaida kwa binadamu kutoridhika, haya mambo ya uchaguzi wa huru na haki yashaanza kubiliwa kitamboo toka enzi za kura ya ndio na hapana enzi za kina baba wa taifa! Hata marekani kwenyewe kelele haziishi tika enzi za kina bushi kula zisharudiwa kina Obama na Trump watu wanahoji sijui majority vote! Huwezi kumkamilisha kila binadamu akaridhika, tusubiri siku ya kiama nabii Isaa akirudi yeye atahukumu kwa haki! Magu 5 tena..kwa jinsi mambo yalivyokorogwa mpaka sasa hivi bado una matumaini kuwa uchaguzi utakuwa huru na wa haki?