Ukiona watu wanawababaikia hao mabeberu ujue kuna asilimia fulani ni vibaraka wao.Beberu hawezi kukutetea bure, kama hatamani kitu kutoka kwako. Ndio maana magu anawatenda kwa akili kubwa.
Nyinyi Marekani amueni moja tumechoka matamko ya kila siku
Uchaguzi upi? Hukuwepo na uchaguzi bali ni vioja maigizo ya CCM kuulawiti kuubaka uchaguzi
Mbona mnalazimisha sana hili?
Inapelekwa Lumumba kwanza kupitiwa na kupata au kutopata ruhusa kukutana na wananchi.Hii post inasubiri kupitiwa na Moderators ili iende kwa umma!

Sio wote waliona access ya kuingia Jf kwa sasa.Kwani hapa ni jukwaa gani.
-Wapi nimesema tunataka tushinde ili tupate misaada?Daaah kwa akili hizi n afadhali tuu mmekosa kila kitu, kwahy ulkuwa mnataka kushinda ili mpate misaada.?
Yakwao bado yanawashinda kutwa ya TanzaniaWakapambane na uchaguzi wao
Maana wasijesema urusi wakihack system zao
Mambo ya TZ watuachie wenyewe
Sent from my H3223 using JamiiForums mobile app
Yaani kirahisi tu kwani halindwi?.Hata hivyo wakati anafanya hizi sarakasi naamini alikuwa anajua kwamba kuna USA n.k.Lakini jiulize licha ya hivyo kwa nini sarakasi zimefanyika tena kwa kujiamini kabisa!Yani heri Sadam Hussein walimkamata kajificha kwenye shimo la panya ndevu kasahau nje. Huyu wa kwetu watamkuta kajianika juu ya mawe kama kenge!
wananiboa mods hawaInapelekwa Lumumba kwanza kupitiwa na kupata au kutopata ruhusa kukutana na wananchi.
Kuna kundi au genge la watu wameishajimilikisha hii nchi. Sasa mwaka huu wameamua kukunjua makucha yao wazi wazi kabisa.Hao nao hawana msaada wowote kila siku maneno hayo hayo tu hapa naanza kukubali duniani hakuna mungu au kama yupo hashiguliki na maisha ya duniani jamani Chadema wenzangu tutafute njia nyingine na sisi hii ya masanduku imeshagoma
Mimi nilipigwa ban wiki moja baada ya kutokubaliana na hoja ya mgombea urais CCM! Post zangu zakawaida zinazozimwa ni nyingi sana yaani wakiona jina tu, zinaishia Lumumba!wananiboa mods hawa
nyuzi zangu kibao halafu za kawaida sana yaani hazipiti
Ila kusema kweli inaumiza mtu akishinda kwa halali huwezi kuumia kwakuwa amekushinda lkn sio kwa utapeli huu waliofanyaKuna kundi au genge la watu wameishajimilikisha hii nchi. Sasa mwaka huu wameamua kukunjua makucha yao wazi wazi kabisa.
sawa sky eclat tumewaelewa tutalifanyia kazi madai yao kwa siku za usoni yaani katika chaguzi zijazo huu umepoita naomba uufurahie nakuuunga mkono maisha yaendelee usijitafutie presha ya bure