Tamko la serikali kuhusu Mawakala Wa Ajira

msimamia kucha

JF-Expert Member
Dec 1, 2013
616
487
Wadau habari za mchana,napenda kujua lile tamko la serikali limeishiaje maana baadhi ya hayo makampuni yanaendelea kuwanyonya wadogo zetu ikiwamo kampuni ya erolink inaendesha shughuli zao mpaka sasa pale Vodacom. nawasilisha.
 
Serekali yetu kama kawa ni wazungumzaji wazuri sana ila vitendo ndio zero. Hakuna lililofanyika na hizi kampuni zinaendelea kukamua mpunga wa madogo kama kawa.
 
Back
Top Bottom