Tamko la Serikali dhidi ya Mengi na Rostam | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tamko la Serikali dhidi ya Mengi na Rostam

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mnozya, May 11, 2009.

 1. m

  mnozya JF-Expert Member

  #1
  May 11, 2009
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 207
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Wakuu JF.

  Nimesoma kwenye mtandao kuwa Tariki Azizi wa TZ leo angetoa tamko la Serikali Kuhusu Mengi.

  Tafadhali mlioko nyumbani tupasheni habari kama kalitoa na amesema nini.
   
 2. A

  Audax JF-Expert Member

  #2
  May 11, 2009
  Joined: Mar 4, 2009
  Messages: 444
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  wadau mpo,tupe nyepesi hizo tunazisubiri
   
 3. J

  Jamco_Za JF-Expert Member

  #3
  May 11, 2009
  Joined: Jul 14, 2007
  Messages: 1,315
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Ina maana mpaka sasa bado hilo tamko hawajatoa inawezekana kweli leo maana muda wa kazi home unakaribia kuisha.
   
 4. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #4
  May 11, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Kwenye mtandao wapi? Tariki Azizi wa TZ ndiye nani? Mbona vitu vinaelea ela tu?
   
 5. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #5
  May 11, 2009
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Halafu wote wamehamia Busanda ,kutafuta ushindi unaoelekea kuiangukia CUF.
   
 6. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #6
  May 11, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,416
  Trophy Points: 280
  Tariq Aziz was a hell of an eloquent speaker. He was Saddam's mouthpiece on the international stage.

  Sasa nani bongo unayemlinganisha na Tariq Aziz? Au unachanganya kati ya Comical Ali na Tariq Aziz?
   
 7. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #7
  May 11, 2009
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,315
  Likes Received: 5,609
  Trophy Points: 280
  Mkuchika ndio Tareq Aziz.ila anamsakizia Bendera leo ndio atatoa tamko rasmi.
   
 8. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #8
  May 11, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Serikali imewalaumu Mengi na Rostam kwa kutumia vibaya vyombo vyao vya habari.

  Wamepewa onyo na kuelezwa wakirudia tena wataadhibiwa
   
 9. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #9
  May 11, 2009
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 237
  Trophy Points: 160
  Asante kwa update mkuu MN...
   
 10. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #10
  May 11, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,416
  Trophy Points: 280
  serikali itawaadhibu vipi sasa hawa? kwa nini serikali iingilie malumbano ya watu? Miafrika bana....
   
 11. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #11
  May 11, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  hehehehe ndivyo ilivyo....
   
 12. Ochu

  Ochu JF-Expert Member

  #12
  May 11, 2009
  Joined: May 13, 2008
  Messages: 972
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  the saga continue
   
 13. S

  Shangazi JF-Expert Member

  #13
  May 11, 2009
  Joined: Mar 24, 2009
  Messages: 307
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Aaa! kumbe TBC aliyotumia Rostam kumkashifu Mengi nayo ni ya Rostam. Sasa nemeelewa!
   
 14. S

  Silas A.K JF-Expert Member

  #14
  May 11, 2009
  Joined: Apr 23, 2008
  Messages: 807
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Mhh huyu mkuchika si alishasema serikali itamchukulia hatua bwana Mengi? sasa kabadili msimamo baada ya Mheshimiwa naye kufanya kama alivyofanya Mengi? Msimamo aliuonyesha mwanzo baada ya taarifa ya Mengi nilifikiri angeuendeleza na kuwachukulia hatua wote wawili yaani Bwana Mengi na Fisadi Papa Rostam Aziz.

  Naanza kuamini yale yanayosemwa kuhusu RA kuwa na nguvu kubwa kuliko Mtanzania yoyote!
   
 15. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #15
  May 11, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  makofi "kwa kwa kwa kwa!"

  tena! "kwa kwa kwa kwa!"

  Hadithi hii kakufundisha nani? na amekuambia ina maana gani?
   
 16. kinepi_nepi

  kinepi_nepi JF-Expert Member

  #16
  May 11, 2009
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 870
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  We have long way to go.
  Hivi hawa viongozi wetu huwa wanafikiri nini??
  Nilitegemea serikali ingetoa kauli ya kupongeza ama kukemea baadhi ya mambo yaliyosemwa kama ni kweli au la hili la kupiga mikwala halisaidii.
  Maswali yangu kwa Kumkuchika
  je Aliyosema Mengi ni ukweli au ?
  Je aliyosema Rostam ni ukweli au la?
  Na kama kuna ukweli je wao serikali wanampango gani na hizi taarifa??
  Kwani TAKUKURU kuna habari nyingi sana zimepelekwa hawafanyi kitu.
  DPP ana mafaili ya kufungua kesi hataki.
  Polisi wamepewa taarifa za kumwaga wako kimya.
  Wananchi wanachokipata ni matusi na watoa habari kuwekwa uchi na kuwa wahanga wa wahalifu.
  Sasa kama hawataki wenye habari kutumia njia hii ya media kutangaza na kutoa habari za wezi, wala rushwa na mafisadi hawaoni wao serikali ni baadhi na injini ya ufisadi na umasikini unao tutafuna.???
  Hawajui kuwa hili linalotokea ni kushindwa kwa serikali kushughulikia uhalifu unaokuwa siku hadi siku.
  Mangapi yalisemwa na wangapi tayari wananchi wamesha pigia kelele kuanzia bungeni lakini hakuna linalofanyika.
  Naona street justice should be next.
   
 17. Amesema magazeti ya Rostam, TBC ni gazeti?
   
 18. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #18
  May 11, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,869
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  1. TAKURURU walipewa ushahidi Richmond wakasema Lowasa safi, hadi tume ya Mwakyembe iliposema kulikuwa kuna rushwa!

  2. Yaani upeleke ushahidi serikalini kuwa pesa za KAGODA ndo zilitumika kuiweka madarakani CCM 2005- je nani atakusikiliza?

  3. Serikali iache kuwatisha watu na kuwafunga watu midomo!!!
   
 19. stanluva

  stanluva Senior Member

  #19
  May 11, 2009
  Joined: Apr 7, 2009
  Messages: 147
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Inawezekana ni Huyo jamaa anayeitwa JC.
   
 20. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #20
  May 11, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Viongozi wa bongo yaani old skool new skool wote IQ ni zero!.....wanafikriia maslahi yao na wala siyo ya wananchi...both chama tawala na vyama cya upizani....

  je tutafika>?.....garlie!...
   
Loading...