Tamko la serikali dhidi ya kampuni zitakazo sababisha ajali...

nilidhani wangeongelea suala la ukaguzi wa mara kwa mara wa vyombo vya usafiri kumbe wanasubiri yatokee ya kutokea ndo waseme maamuzi ....

Nchi ianyoongwa na viongozi wanaotumia Masaburi utaiona tu, kila Kiongozi atatoka lake la kusema ili mradi asikike kuwa amesema bila ya kujalki Sheria za nchi. Shame on Magamba Serikali inayotumia Masaburi

bora hata malecela aliamuru ma bus yasafiri mchana tuu mwisho saa 4 usiku ila kwa sasa imekua saa 6.hatimaye tutarudia kulekule.kuhusu kufungiwa kampuni haina tija kwani mmiliki atabadilisha jina kama ilivyokua AIR MSAE na sasa METRO au SCANDNAVIA na sasa GREEN STAR.Sheria iseme atakayesababisha ajali kizembe afungwe maisha haswa dereva,captain,pilot

Hapo wanajaribu kuwatulıza wahanga 2 wa ajalı no utekelezajı.

Hayo ni matisho ya serikali kwa wasafirishaji, maana nakumbuka walikuja na kubadilisha leseni ya udereva (walijenga mzingira makubwa ya rushwa, leseni mpya Tsh 240,000 ), walipoona hilo halifanyi kazi sasa kunyang'anya leseni. Hilo nalo likijuja utasikia lingine.

Ni muhimu kwa serikali makini (ila si hili la magamba) kuwa na utaratibu wa kukagua vyombo vyote vya usafirishaji majini na nchi kavu na kuviondoa mara moja katika ratiba ya safari pindi ionekanapo havikidhi ubora wa kufanya safari.

Serikali ikae ofisini na tai zenu msubiri ajali itokee ndiyo muanze kutake action, mmechanganyikiwa na hamtumii tena ubongo kufikiri!!!!!!!!!!!!!!!!!

Nadhani tusione aibu hapa kama ni mifano ipo mingi tu, uganda na kenya waliweza kudhibiti utovu wa nidhamu kwa wasafirishaji wa barabara na maji kwa kutunga sheria kali. mwanzoni zilikuwa ngumu hata kwa abiria lakini zilizoeleka na ziliweza kusaidia kwa kiwango kikubwa kuzuia uzembe wa madereva, askari wa traffic pamoja na inspectors kusababisha hasara na maafa. tamko au bila sioni logic ya kusubiri maafa ndipo afungiwe mtu

Upupu mtupu. Hamna lolote. Kelele za debe tupu. Wameshindwa kudhibiti madaladala yanayojaza abiria na yanapita dirishani kabisa kwa waziri leo ataweza kudhibiti vyombo vya usafiri nchi nzima barabarani na majini?

Hahahhaaaaa Osie baba hata shemeji hua anatoa matamko? kuwa leo "usile tundi" hahahaaaa imekaa vizuri kakaaa, kwa hio hawa jamaa wamezidiwa akili hata na shemeji eeehh??

hahahahahaha! ujumbe ni kwamba shemejio akitoa matamko siyatekelezi coz hana lolote la kunifanya, ila akithubutu hata kutishia kutimka kwao na akatimka hata kwa mda tu kweli nitatii baadhi ya matamko yake kama ni ya kujenga zaidi, maanake matamko mengine sio! teh teh teh

.....Serikali imetoa tamko leo asubuhi dhidi ya kampuni zote za usafirishaji wa majini na nchi kavu zitakazo sababisha ajali......akitoa tamko hilo kwa niaba ya serikali waziri Omari Nundu amesema kuanzia leo SUMATRA imepewa agizo kuzifungia au kuzinyang'anya leseni za biashara kampuni zote zitakazo sababisha ajali...

Waziri akaendelea kusema kuwa kuanzia sasa serikalia haitakua na huruma na kampuni yoyote itakayo sababisha ajali...na kwa maelezo yake,endepo kampuni itasababisha ajali itakuwa ni automatic ban.....

My opinions:
Kama hili litatekelezwa ipasavyo litapunguza ajali kwa kiasi kikubwa sana.....

Mheshimiwa aulizwe , ni kwa sheria ipi atatekeleza hilo?
Na je sheria hizo zilikuwepo?
Je kwa nini hazikutumika?
Nani awajibishwe?
Na Mhe Nundu ana mamlaka gani kusema hivyo , maana kule Zanzibar hatambuliki, twakumbuka wananchi kule kupitia Wawakilishi wao waliwapiga stop SUMATRA na kuwafurusha toka visiwani.
Tunaamka kumeshakucha na watu wamekisha fariki!!

Mkurugenzi Mkuu wa SUMATRA alipata kumwambia Jk katika ziara zake wizarani kuwa kikwazo cha katika kuboresha usafri wa majini na nchi kavu ni makampuni ya usafiri kuwa yanamilikiwa na viongozi, wanasiasa na askari. Jk aliishia kucheka "hii ya leo kali". Hivyo hizo kauli za Nundu ni blah blah. Ajali katika Tanzania ni industry inayowazalishia wahusika katika vitengo vya polisi, mahakama, bima n.k mapato makubwa sana.

Mi naona ajari kubwa kama hii ikitokea tena basi serikali na chama kilichopo madarakani vingoke na chama hiicho kisishiriki chaguzi zote kwa miongo miwili-reason: serikali ina sumatra na polisi wa usalama barabarani- kwa nini ajari kama hii itokee?.
.....Serikali imetoa tamko leo asubuhi dhidi ya kampuni zote za usafirishaji wa majini na nchi kavu zitakazo sababisha ajali......akitoa tamko hilo kwa niaba ya serikali waziri Omari Nundu amesema kuanzia leo SUMATRA imepewa agizo kuzifungia au kuzinyang'anya leseni za biashara kampuni zote zitakazo sababisha ajali...

Waziri akaendelea kusema kuwa kuanzia sasa serikalia haitakua na huruma na kampuni yoyote itakayo sababisha ajali...na kwa maelezo yake,endepo kampuni itasababisha ajali itakuwa ni automatic ban.....

My opinions:

Kama hili litatekelezwa ipasavyo litapunguza ajali kwa kiasi kikubwa sana.....

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom