Tamko la polisi kuhusu bomu la arusha mkutano wa chadema

GHULA

Member
Mar 3, 2013
77
66
Inspekta Jenerali wa Polisi nchini, ametoa taarifa kwa vyombo vya habari, kisha amejibu maswali kadhaa, vitu vya msingi kwa sasa ni kuwa Taarifa Muhimu zitatolewa na Jeshi kwa wakati muafaka tena kwa usahihi, ila kwa leo amesema hadi sasa hakuna mtu anayeshikiliwa na jeshi kutokana na tuhuma za tukio hilo ingawa Ushirikiano umepatikana wa kutosha kutambua wajihi wa anayesadikiwa ndiye mtuhumiwa, lakini pili, Jeshi la Polisi litaifanyia kazi kauli ya Kiongozi mmoja wa Chama cha siasa aliyesema watu wasipochagua chama chao watakufa, watakufa kabisa
 

Attachments

  • KAULI YA POLISI KUHUSU BOMU LA ARUSHA.jpg
    KAULI YA POLISI KUHUSU BOMU LA ARUSHA.jpg
    335.5 KB · Views: 1,581
watoe tamko jingine la kuhusu kupigwa kwa viongozi wa chadema maeneo mbalimbali nchini
 
Inspekta Jenerali wa Polisi nchini, ametoa taarifa kwa vyombo vya habari, kisha amejibu maswali kadhaa, vitu vya msingi kwa sasa ni kuwa Taarifa Muhimu zitatolewa na Jeshi kwa wakati muafaka tena kwa usahihi, ila kwa leo amesema hadi sasa hakuna mtu anayeshikiliwa na jeshi kutokana na tuhuma za tukio hilo ingawa Ushirikiano umepatikana wa kutosha kutambua wajihi wa anayesadikiwa ndiye mtuhumiwa, lakini pili, Jeshi la Polisi litaifanyia kazi kauli ya Kiongozi mmoja wa Chama cha siasa aliyesema watu wasipochagua chama chao watakufa, watakufa kabisa

Hapo kwenye RED napasubiri kwa hamu sana lakini sitarajii jipya kutoka kwa polisi zaidi ya kauli nyepesi katika hoja nzito.
 
Hii ina maana polisi itafanyia kazi kaili ya Nchemba! Mi kweli yeye ndo alotoa ksuli hiyo ys viyisho. Hebu tungoje tuone jinsi polisisiem watakavyo mshughulikia kada huyu maarufu wa CCM. ninasuubiri kwa hamu nione polisisiem wanavyo shughulikia suala hili!
 
Hivi ni mara ngapi tumesikia kauli kama hizi zisizokua na utekelezaji?
 
Jeshi la polisi kw uweledi wao hawawezi toa taarifa shallow hivi,nadhani mleta mada amejitengenezea taari yake hapa,go back and put some more inputs,labda utaweza kutoconvince
 
hivi yule aliye mchinja mwenyekiti wa chadema aliyetoroka mikononi mwa polisi alikamatwa!

Hawajui watendalo, Mungu atashughulika nao. Ts justa a matter of time, wanaamini either Mungu ni mdogo au hananguvu, haoni na hayupo! they are free to do whatever!
 
"kauli za viongozi wote wa chama na serikali hazina madhara kwao na hata kwa vyombo vya usalama,ila kauli za viongozi wa vyama vya upinzani huwa zinachochoa vurugu na hata kuhatarisha amani ya nchi"



shikamoo naibu katibu mkuu
 
ni jambo la hatari sana jeshi tena la polis kutumika kisiasa.....kwanini jana mwigulu aliamisha kwenye hotel ambayo alifikia huko arusha tena kwa taa za hotel nzima kuzimwa? kuna jambo la kutilia mashaka
 
Shame on you Said Mwema, Kila tukio la Ughaidi linapotokea unawatuma Paul Chagonja na Issaya Mngulu lakini hawajawahi kufanya uchunguzi ukakamilika. Wananchi tunahisi kuwa nyie polisi mnafurahia matukia kama haya kwani mnapata fursa ya kula POSHO na PER DIEMS huku hakuna kazi yoyote inafanyika. Matukio yote ya ughaidi kuanzia lile la Sheikh Soraga, Padri Mushi, Padri Nkenda, Dokta Ulimboka, Absalom Kibanda, Kanisani Olasiti na mengineyeo upelelezi wenu DHAIFU haujafanikisha kukamata wahusika, leo mna nini kipya

Pia inasemekana aliyelipua bomu ni polisi na wananchi walitaka kumkamata mkawatawanya kwa mabomu na risasi akapanda gari la polisi akatokomea. This is State Sponsored Terrorism
 
Hii barua mbona haina hata kumbukumbu namba na wala haijasainiwa. Au anataka kesho aikane!

TUMBIRI (Kaloleni, Arusha - TANGANYIKA)
 
Yale yale,unafikiri kumkamata Mwigulu ni kazi rahisi?hapendi kazi yake nn?

Watamkamata vipi wakati ni wao wenyewe tumeambiwa ndio waliomtorosha katika hoteli aliyofikia tena kwa taa kuzimwa...

Hii nchi Kikwete kaifikisha pabaya, tuombe Mungu tu 2015 ifike bila kuwa na vita ya wenyewe kwa wenyewe kati ya wanaCCM na wananchi
 
changa la macho hapo..
Huyo kamishna isaya mngulu kama kumbukumbu zangu zipo sawasawa ndiye alitumwa kutoka makao makuu kuja kufanya uchunguzi kuhusu lile bomu la kanisani olasiti napia juzi katika tukio la mtwara alikuwepo katika kamati iliyotumwa kwenda mtwara kufanya uchunguzi juu ya fujo zilizotokea na malalamiko ya wananchi juu ya vitendo walivyofanyiwa na jeshi la polisi....sasa swali ni kwamba je huko kote alishakalimilisha huo upelelezi..?na kama amekamilisha,he ripoti ipo wapi..??
 
Kauli kama hizi zimetolewa na Mamri, Nape na mwigulu kwa maneno tofauti

Mwanri alisema mkongoto utatembea
Nape alisema" Watawashughulikia watu kwa vijana wao kwa masaa 3 ndipo wamkabidhi Polisi kwani polisi hawajui kuwashughulikia watu kama wao
Mwigulu" Msipoichagua CCCM mtakufa.

Nilikuwepo na nilisikia ila nilifanikiwa kumrekodi Nape na Mwanri na video ninazo
 
Back
Top Bottom