Tamko la polisi kuhusu bomu la arusha mkutano wa chadema

Hivi kauli ya Mwigulu na Slaa ipi yenye maudhui ya hatari?

" Msipoichagua CCM mtakufa" Mwigulu. Ana maanisha kuwa msipoichagua CCM wananchi watakufa kwa sera mbovu za CDM. Kunatofauti ya mtu kufa na kuuwawa. Yaliyotokea jana watu waliuwawa kwa bomu ila kufa mtu unaweza kufa kama sera za chama ni mbovu kama za CDM maana watu wanawekufa kwa njaa. Isotoshe yametokea kabla hata wananchi hawajapiga kura.

" Nchi hii haitotawalika" Slaa. Hapa anamaanisha nchi itakumbwa na machafuko kama tunayoyaona sasa. Hili jumuiya za kimataifa zione Tanzania ni nchi isiyofuata utu wa wanabinadamu lazima watengeneza matukio kama haya hata kama yatauwa wanachama wake wao wanachotaka waone ni Kuingia lile jumba jeupe pale magogoni kwa hila yoyote ile. Tumeshauona mengi na tutauna matukio mengi sana kama huyu mzee hatowekwa kizuizini.
 
Hii ina maana polisi itafanyia kazi kaili ya Nchemba! Mi kweli yeye ndo alotoa ksuli hiyo ys viyisho. Hebu tungoje tuone jinsi polisisiem watakavyo mshughulikia kada huyu maarufu wa CCM. ninasuubiri kwa hamu nione polisisiem wanavyo shughulikia suala hili!
hizo ni kauli kama nyingine hakuna mtu anayeshughulikiwa hapo
 
Kauli kama huzi tumezizoea, Moro kauli zilitolewa, Iringa kauli na tume, Arusha kauli na tume ,mauaji ya polisi na lile la Kanisani, na hili la jana pua story zinaendelea, damu za mnao ua zitahesabiwa mikononi mwenu.
 
Back
Top Bottom