Tamko la Padre Kitima na changamoto ya Korona dhidi ya Usalama wa Nchi: Tunakwenda wapi baada ya hapa?

Kama ulivyo utii wako kwa spika.
We dawa yako Mhe. Esther Matiko....
Ngoja nimwambie aje hapa kukujibu tena ....

1615345909410.png
 
Terrible mistake of fact.

Kwa mawazo yako kati ya wale unaowaita COVID19 yupo mwenye "mwandiko" unaouona kwenye mabandiko ya akaunti hii?

Think again.
Kwamba wewe ni zaidi yao !!. Tanganyika nchi yetu iliharibiwa na u communist. Kiasi wananchi hatujui tunataka nini !!
 
Jibu la Kitima and ze like

Melinda Gates says we could reach global herd immunity from Covid sometime in 2022​

Padre alikiuka muongozo wa nchi kuhusu itifaki ya utoaji taarifa kuhusu ugonjwa wa UVIKO. Tiini mamlaka za nchi kwa maana nazo zimetoka kwa MUNGU WA MBINGUNI
Kama mamlaka ilee ya Hitler au?
 
Attachments

  • img_1_1611816375301.jpg
    img_1_1611816375301.jpg
    9.3 KB · Views: 6
Padre alikiuka muongozo wa nchi kuhusu itifaki ya utoaji taarifa kuhusu ugonjwa wa UVIKO. Tiini mamlaka za nchi kwa maana nazo zimetoka kwa MUNGU WA MBINGUNI
Kasuku aweza kukariri hiyo aya vizuri zaidi yako. Hata wakati Shetani anamjaribu Yesu alinukuu maandiko vizuri kuliko wewe!
Jikumbushe mahusiano kati ya Daniel, Shadrach, Meshach na Abednego na serkali ya wakati wao. Angalia na uhusiano wa mitume na Sanhedrin. Ukasuku lazima ukutoke tu leo!
 
Kama umesoma falsafa huwa kuna 'substance (mambo ya msingi) and accident (mambo yasiyo ya msingi)'. Kwenye mjadala huu jambo la msingi ni hoja anayoijadili. Whether anafundisha Sumbawanga au Kinyerezi si jambo la msingi kwenye mjadala huu. So, it's useless to concentrate on it.
Licha ya falsafa ya substance na accident, huyo sio makini. Mleta uzi katikati ya bandiko ndiko alisema kuwa wakiwa wanafunzi wa Sekondari mwalimu wao aliwapa njia ya kukumbuka Kanuni Tano za Utafiti wa Kisayansi. Mwishoni wakati amewasilisha ndipo alisema anafundisha Primary School akiitaja kama Simbawanga katika mabano. Anajiwazia tu kama kilaza tu huyo!
 
Unajua? Hapana hujui. Mhubiri mzuri lakini mtendaji wa hovyo. Kuna vitu unajua. Unaweza kuvijadili lakini unakosa hitimisho sahihi. Au kuna mambo yanaathiri mchakato wako wa kufikia suluhisho! Nakataa wewe kuwa mwanasayansi mzuri. Hapana.

Kuna mchangiaji kasifia nondo zako na kusema utafaulisha wanafunzi wako vizuri. Nakataa kabisa. Unawaharibu. Hawakuelewi. Uko sophisticated. Hata na superiority complex haijakuacha salama.

Una lugha fasaha. Sijajua kielimu ulifika wapi. Naona kama unajisomea mambo mengi mwenyewe. Not groomed. Only a bookworm. Naomba unielewe vizuri. Nilipokukwaza unisamehe. Wewe kufundisha shule ya msingi ni muhali. Kuna tatizo kubwa hapo kuzidi maelezo!
 
Nimeipenda hoja hii:

1. Mleta uzi katikati ya bandiko ndiko alisema kuwa wakiwa wanafunzi wa Sekondari mwalimu wao aliwapa njia ya kukumbuka Kanuni Tano za Utafiti wa Kisayansi.

2. Mwishoni wakati amewasilisha ndipo alisema anafundisha Primary School akiitaja kama Simbawanga katika mabano.

3. Anajiwazia tu kama kilaza tu huyo (mkosoaji wa bandiko)!
 
Unajua? Hapana hujui. Mhubiri mzuri lakini mtendaji wa hovyo. Kuna vitu unajua. Unaweza kuvijadili lakini unakosa hitimisho sahihi. Au kuna mambo yanaathiri mchakato wako wa kufikia suluhisho! Nakataa wewe kuwa mwanasayansi mzuri. Hapana.

Kuna mchangiaji kasifia nondo zako na kusema utafaulisha wanafunzi wako vizuri. Nakataa kabisa. Unawaharibu. Hawakuelewi. Uko sophisticated. Hata na superiority complex haijakuacha salama.

Una lugha fasaha. Sijajua kielimu ulifika wapi. Naona kama unajisomea mambo mengi mwenyewe. Not groomed. Only a bookworm. Naomba unielewe vizuri. Nilipokukwaza unisamehe. Wewe kufundisha shule ya msingi ni muhali. Kuna tatizo kubwa hapo kuzidi maelezo!

Naheshimu maoni yako. Lkn yana dosari kadhaa.

Hivyo sivyo argument analysis and evaluation zinavyofanyika.

Yaani ungekuwa unaopitia dissertation ya mwanafunzi wako ukaandika hayo uliyoyaandika ungekuwa hujamsaidia lolote.

Umeporomisha kauli bila hata uthibitisho kutoka ktk text unayofanyia uchambuzi.

Halafu ujione wewe ndiye mwelewa kuliko nie?

Halafu nimeona unalalamikia superiority complex.
Kwa hiyo unafagilia inferiority complex?

Hivi Kwa nini unataka mtu akubali hitimisho lako katika bandiko uliloweka?

Logical principle: Unsupported claims entertain unsupported objections.

Kwa ufupi, umeshindwa kutafsiri hoja yangu, lkn hoja imenyooka tu.

Ukisoma tena utaona elements zote za hoja iliyokamilika. Yaani:
  • Claim,
  • ground,
  • warrant,
  • backing,
  • qualifier,
  • objections,
  • rebuttals.

Kwa ujumla, napendekeza kuwa hukumwelewa vema mwalimu wako wa somo la ARGUMENT ANALYSIS AND EVALUATION SKILLS.

Soma matini yako tena, kisha rejea ktk hoja yangu ukiwa na stadi timamu za uchambuzi na uhakiki wa hoja.
 
Nakukubali kwa kujisomea. Kuna different schools of thoughts karibu katika kila jambo. Unanikumbusha waswahili wengi wanavyo ongea kiingereza wakifikiri katika kiswahili. Bado kabisa. Zungumza lugha ukifikiri katika hiyo lugha.
Unaandika makala na kitini mezani! Na muda wote ukiwazia argument analysis and evaluation skills. Bado. Mambo ya walimu na wanafunzi wao. Too academic. Kweli profession msingi wake ni sound academic knowledge. Novice in profession detectable.
Hakuna jema katika superiority wala inferiority complex. Yote ni maovu. Kwako ni kama huna superiority utakuwa na inferiority complex. Ishi bila yote mawili.
Swali la kizushi. Kwa nini unafundisha katika shule ya msingi? Walimu wenzako baadhi wakiwa ni wale wa UPE. Hapo Simbawanga pakoje?
 
Nakukubali kwa kujisomea. Kuna different schools of thoughts karibu katika kila jambo. Unanikumbusha waswahili wengi wanavyo ongea kiingereza wakifikiri katika kiswahili. Bado kabisa. Zungumza lugha ukifikiri katika hiyo lugha. Unaandika makala na kitini mezani! Na muda wote ukiwazia argument analysis and evaluation skills. Bado. Mambo ya walimu na wanafunzi wao. Too academic. Kweli profession msingi wake ni sound academic knowledge. Novice in profession detectable. Hakuna jema katika superiority wala inferiority complex. Yote ni maovu. Kwako ni kama huna superiority utakuwa na inferiority complex. Ishi bila yote mawili. Swali la kizushi. Kwa nini unafundisha katika shule ya msingi? Walimu wenzako baadhi wakiwa ni wale wa UPE. Hapo Simbawanga pakoje?
Najibu kwa ufupi. Andiko langu linalenga hadhira pana. Kwa hiyo, ni sahihi kuwa somehow academic, lakini sio too academic kama unavyosema. Kuhusu superiority na inferiority complex sina shida navyo, ila mie naamini katika argumentation supremacy. Nafundisha shule ya Msingi kwa vile ndio size yangu, nina Diploma ya Ualimu. Naishi vizuri na walimu wa UPE. Hapa Simbawanga ni pazuri, kuna amani, upendo, na kuchukuliana kwa upole. Karibu!
 
Naheshimu maoni yako. Lkn yana dosari kadhaa.

Hivyo sivyo argument analysis and evaluation zinavyofanyika.

Yaani ungekuwa unaopitia dissertation ya mwanafunzi wako ukaandika hayo uliyoyaandika ungekuwa hujamsaidia lolote.

Umeporomisha kauli bila hata uthibitisho kutoka ktk text unayofanyia uchambuzi.

Halafu ujione wewe ndiye mwelewa kuliko nie?

Halafu nimeona unalalamikia superiority complex.
Kwa hiyo unafagilia inferiority complex?

Hivi Kwa nini unataka mtu akubali hitimisho lako katika bandiko uliloweka?

Logical principle: Unsupported claims entertain unsupported objections.

Kwa ufupi, umeshindwa kutafsiri hoja yangu, lkn hoja imenyooka tu.

Ukisoma tena utaona elements zote za hoja iliyokamilika. Yaani:
  • Claim,
  • ground,
  • warrant,
  • backing,
  • qualifier,
  • objections,
  • rebuttals.

Kwa ujumla, napendekeza kuwa hukumwelewa vema mwalimu wako wa somo la ARGUMENT ANALYSIS AND EVALUATION SKILLS.

Soma matini yako tena, kisha rejea ktk hoja yangu ukiwa na stadi timamu za uchambuzi na uhakiki wa hoja.
Nilitaka kuandika jambo juu ya huyo uliyomjibu ila nikafuta.
Ukweli ni kwamba andiko lako limeshiba, limejaa maswali pamoja na majibu ndani yake. Ndio maana hao wapotoshaji wanashindwa kunukuu aya Yoyote ya bandiko hili na kisha kulitolea makanushao yao.

Tunashukuru kwa elimu uliyoitoa
 
Back
Top Bottom